TANGAZO


Wednesday, June 17, 2015

Mwinyi aongoza Swala ya kuswalia marehemu Mufti Shaaban Bin Simba jijini Dar es Salaam

Makamu wa Rais Mohammed Gharib Bilal akizungumza na kutoa salam za rambirambi wakati wa  Ibada maalumu ya kumuombea aliyekuwa Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Issa Bin Shaaban Simba, Dar es Salaam  kabla ya  mwili wake kusafirishwa kwenda kijijini kwake Majengo mkoani Shinyanga.
Mzee Kingunge Ngombalemwiru ni mmoja wa washiriki.
Sheikh Imam Mkuu Msikiti wa Ihsani uliopo Temeke Vetenari  Nurdin Kishki akizungumza na Viongozi mbalimbali na waumini  wakati wa  Ibada maalumu ya kumuombea aliyekuwa Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Issa Bin Shaaban Simba, Dar es Salaam  kabla ya  mwili wake kusafirishwa kwenda kijijini kwake Majengo mkoani Shinyanga.
Sehemu ya wanahabari wakipata matukio





Balozi wa Palestine nchini Tanzania  Dkt. Nasri Abu Jaish akisalimiana na Rais Mstaafu Mwinyi walipokutana wakati wa  Ibada maalumu ya kumuombea aliyekuwa Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Issa Bin Shaaban Simba, Dar es Salaam  kabla ya  mwili wake kusafirishwa kwenda kijijini kwake Majengo mkoani Shinyanga.
Mkuu wa Wilaya Temeke Sofia Mjema akishiriki katika Ibada maalumu ya kumuombea aliyekuwa Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Issa Bin Shaaban Simba, Dar es Salaam kabla ya  mwili wake kusafirishwa kwenda kijijini kwake Majengo mkoani Shinyanga.

Waumini wa Dini ya Kiislam wakiswali Swala ya Alasiri baada ya kusoma Ibada maalumu.

Makamu wa Rais, Dkt. Bilal na baadhi ya waumini  wakishiriki Ibada ya kuombea jeneza (pichani halipo), iliyoongozwa na Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi, wakati wa Ibada maalumu ya kumuombea aliyekuwa Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Issa Bin Shaaban Simba, Dar es Salaam  kabla ya  mwili wake kusafirishwa kwenda kijijini kwake Majengo mkoani Shinyanga. (Picha zote na Khamisi Mussa)

No comments:

Post a Comment