TANGAZO


Monday, June 8, 2015

Mradi wa Nyumba za Kampuni ya Avic Town wawavutia wananchi

Nembo ya Kampuni ya Avic Town.
 Ofisa Masoko wa Kampuni Avic Town, Kidani Muhombolage (kulia) akiwaongoza wateja walipotembelea mradi wa nyumba za aina saba zilizojengwa na kampuni hiyo zilizopo Kijiji cha Somangira Kigamboni Dar es Salaam. Mradi huo una ekari 583. 
 Wateja wakiwa wanatoka ndani ya nyumba hizo
 Sehemu ya kiwanja cha michezo
Mandhari ya lango kuu la kuingia katika nyumba za mradi huo.
 Raia wa Jamhuri ya watu wa China waishio Tanzania wakifuatilia jambo katika simu zao wakati walipotembelea mradi huo.
 Mmoja wa wateja hao akiongea na waandishi wa habari (pichani hawapo) 
 Mmoja wa wateja akiwaoneshawenzake nyumba hizo wakati walipotembelea nyumba hizo.
 Wateja waliotembelea Mradi huo wakiwa katika picha ya pamoja.


Mmoja wa wateja waliotembelea mradi huo ambaye ni Meneja wa Fedha Bank ya Amana,  Hamidu Mkila (kulia), akikabidhiwa zawadi na mmoja wa Maofisa wa kampuni ya Avic Town.

No comments:

Post a Comment