TANGAZO


Saturday, June 27, 2015

Komredi Kinana avuna wapinzani lukuki wilayani Magu

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana akipokea kadi za vyma vya upinzani kutoka kwa watu waliovihama vyama hivyo na kujiunga na CCM, katika mkutano wa hadhara akatika Mji wa Kisesa, wilayani Magu, mkoani Mwanza leo,wakati wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi pamoja na kusikiliza  kero za Wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.Kushoto ni Katibu wa CCM Mkoa wa Mwanza, Miraji Mtaturu. Zaidi ya wapinzani 50 walijiunga papo hapo.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipokea kadi za vyma vya upinzani kutoka kwa watu waliovihama vyama hivyo na kujiunga na CCM, katika mkutano wa hadhara akatika Mji wa Kisesa, wilayani Magu, mkoani Mwanza leo.
 Komredi Kinana akipokea kadiu kutoka kwa aliyekuwa mwananchama wa ACT -MZALENDO
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chadema Wilaya ya Magu, Juliana Kachilu akikabidhi magwanda ya Chadema kwa Komredi Kinana baada ya kutangaza kuachana na chama hicho na kuamua kujiunga na CCM katika mkutano uliofanyika katika Mji wa Kisesa, Magu. (Picha zote na Richard Mwaikenda)

No comments:

Post a Comment