Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (wa nne kushoto) akiongoza Jogging katika mkitaa mbalimbali ya Jiji la Mwanza asubuhi hii, akiwa katika ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM pamoja na kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi. Leo atafanya ziara katika Jimbo la Nyamagana na kesho Ilemela.Wa tatu kulia ni Katibu wa Iyikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye.
Komredi Kinana (katikati) akifanya Jogging pamoja na Nape (wa pili kushoto), Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo (kushoto) pamoja na Katibu wa CCM wa mkoa huo, Miraji Mtaturu.
No comments:
Post a Comment