TANGAZO


Sunday, June 21, 2015

Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya NEC-CCM Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wakati alipowasili katika Viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM  Kisiwandui Mjini Unguja leo, kushiriki katika kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halamashauri Kuu ya Taifa (NEC-CCM). (Picha zote na Ikulu)
Wajumbe wa kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halamashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC) wakipitia agenda mbali mbali zilizotayarisha katika kikao hicho kabla ya kuanza   wakati Mwenyekiti wake akiwa    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,kikao hicho kimefanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja.
Wajumbe wa Sekretarieti ya Kamati Maalum ya Halamashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC)wakipitia agenda mbali mbali zilizotayarisha katika kikao hicho cha siku moja kabla ya kuanza katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein. 
Wajumbe wa kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halamashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC) wakipitia agenda mbali mbali zilizotayarisha katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja,wakati Mwenyekiti wake akiwa   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiendesha kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halamashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC),kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja,(kushoto) Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Mohamed Gharib Bilali,[Picha na Ikulu.] 
Naibu katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai akitoa taarifa za Kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halamashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC),kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja,mbele ya Mwenyekiti Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) wengine Makamo wa Pili wa rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi (kushoto)na Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Mohamed Gharib Bilali 
Baadhi ya wajumbe wa Kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halamashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC) wakisikiliza taarifa za na Agenda za kikao zilizotolewa na Naibu katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai mbele ya Mwenyekiti  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein leo katika ukumbi wa Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja.

No comments:

Post a Comment