TANGAZO


Friday, June 5, 2015

Chuo cha Diplomasia Kurasini chaadhimisha Siku ya Mazingira kwa kufanya usafi na kupanda miti

Baadhi ya wanafunzi na wafanyakazi wa Chuo cha Diplomasia, Kurasini jijini Dar es Salaam, wakimsikiliza Mkurugenzi wa chuo hicho, Balozi Dk. Mohamed Maundi (hayupo pichani), wakati alipokuwa akizungumza nao katika maadhimisho ya Siku ya Mazingira duniani, chuoni hapo leo. Chuo hicho kimeadhimisha siku hiyo, kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira maeneo ya chuo. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Baadhi ya wanafunzi na wafanyakazi wa Chuo cha Diplomasia, Kurasini jijini Dar es Salaam, wakifanya usafi wa mazingira maeneo ya chuo hicho leo, ikiwa ni katika kuadhimisha Siku ya Mazingira duniani. Chuo hicho kimeadhimisha siku hiyo kwa kupanda miti na kufanya usafi wa mazingira maeneo ya chuo. 
Baadhi ya wanafunzi na wafanyakazi wa Chuo cha Diplomasia, Kurasini jijini Dar es Salaam, wakifanya usafi wa mazingira.
Wanafunzi na wafanyakazi wa Chuo cha Diplomasia, Kurasini jijini Dar es Salaam, wakisafisha mazingira ya maeneo ya chuo hicho leo, ikiwa ni katika kuadhimisha Siku ya Mazingira duniani.
Wanafunzi na wafanyakazi wa Chuo cha Diplomasia, Kurasini jijini Dar es Salaam, wakifanya usafi wa kwenye maeneo ya chuo leo, katika kuadhimisha Siku ya Mazingira duniani. 
Baadhi ya wanafunzi na wafanyakazi wa Chuo cha Diplomasia, Kurasini jijini Dar es Salaam, wakifanya usafi wa mazingira maeneo ya chuo hicho leo, ikiwa ni katika kuadhimisha Siku ya Mazingira duniani. 
Wanafunzi na wafanyakazi wa Chuo cha Diplomasia, Kurasini jijini Dar es Salaam, wakiwa kazini, wakifanya usafi wa mazingira.
Baadhi ya wanafunzi na wafanyakazi wa Chuo cha Diplomasia, Kurasini jijini Dar es Salaam, wakifanya usafi wa mazingira maeneo ya chuo hicho leo, ikiwa ni katika kuadhimisha Siku ya Mazingira duniani. 
Mkurugenzi wa Chuo cha Diplomasia, Balozi Dk. Mohamed Maundi (kulia), akizungumza na waandishi wa habari, wakati, wa maadhimisho ya siku ya Mazingira duniani, Kurasini, jijini Dar es Salaam leo.  
Mkurugenzi wa Chuo cha Diplomasia, Balozi Dk. Mohamed Maundi (kulia), akizungumza na waandishi wa habari, wakati wa maadhimisho ya siku ya Mazingira duniani.
Wanafunzi na wafanyakazi wa Chuo cha Diplomasia, Kurasini jijini Dar es Salaam, wakisubiri kwenda kupanda miti nje ya chuo hicho, baada ya kufanya usafi wa mazingira maeneo ya chuo hicho leo, ikiwa ni katika kuadhimisha Siku ya Mazingira duniani. 
Mkurugenzi wa Chuo cha Diplomasia, Balozi Dk. Mohamed Maundi (kushoto), akitayarisha shimo kwa ajili ya kupanda mti nje ya chuo hicho, wakati wanafunzi na wafanyakazi, walipofanya usafi wa mazingira na kupanda miti katika kuadhimisha siku ya mazingira duniani, Kurasini, jijini Dar es Salaam leo.  
Mkurugenzi wa Chuo cha Diplomasia, Balozi Dk. Mohamed Maundi (kushoto), akiutayarisha mti kwa ajili ya kuupanda nje ya chuo hicho, wakati wanafunzi na wafanyakazi, walipofanya usafi wa mazingira na kupanda miti katika kuadhimisha siku ya mazingira duniani, Kurasini, jijini Dar es Salaam leo.  
Mkurugenzi wa Chuo cha Diplomasia, Balozi Dk. Mohamed Maundi (kushoto), akipanda mti nje ya chuo hicho, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mazingira duniani, Kurasini, jijini Dar es Salaam leo.  
Mkurugenzi wa Chuo cha Diplomasia, Balozi Dk. Mohamed Maundi (kushoto), akitia mchanga kwenye shimo alilopanda mti nje ya chuo hicho, wakati wa kuadhimisha Siku ya Mazingira duniani, Kurasini, jijini Dar es Salaam leo. 
Rais wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo cha Diplomasia, Kurasini jijini Dar es Salaam, Nice Munisi (kulia), akipanda mti nje ya chuo hicho, wakati wa kuadhimisha Siku ya Mazingira duniani leo chuoni hapo.
Rais wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo cha Diplomasia, Kurasini jijini Dar es Salaam, Nice Munisi (kulia), akiumwagilia maji mti alioupanda nje ya chuo hicho, wakati wa kuadhimisha Siku ya Mazingira duniani leo kwa wanafunzi na wafanyakazi wa chuo hicho.

No comments:

Post a Comment