Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (kushoto) akipeana mkono leo na Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu Balozi Dkt. Matern Lumbanga(katikati) mara baada kufungua kongamano la Wiki ya Utumishi wa Umma lililofanyika leo kwenye ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Kulia ni Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma. George Yambesi.
Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu Balozi Dkt. Matern Lumbanga akitoa hotuba mara baada kufungua kongamano la Wiki ya Utumishi wa Umma lililofanyika leo kwenye ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu Balozi Dr. Matern Lumbanga akitoa Mada kuu ya utangulizi katika Kongamano la Wiki ya Utumishi wa Umma Sehemu ya washiriki wa Kongamano wakimsikiliza mgeni rasmi Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Y. Sefue (hayupo pichani), kushoto ni Katibu Mstaafu Tume ya Utumishi Bi. Thecla Shangali, akifuatiwa na Katibu Mkuu Mstaafu-Ikulu Bi. Rose Lugembe.
Mwenyekiti wa Kongamano, Katibu Mkuu Mstaafu Bw. George D. Yambesi, akitoa maelekezo kuhusu mada zilizowasilishwa wakati akiongoza kongamano la Wiki ya Utumishi wa Umma 2015.
Sehemu ya washiriki vijana "Young Professional" wakisikiliza maelekezo wakati wa Kongamano la Wiki ya Utumishi wa Umma 2015.
Kaimu Katibu Mkuu-Utumishi Bw. HAB Mkwizu akitoa neno la shukrani baada ya ufunguzi wa Kongamano la Wiki ya Utumishi wa Umma.
No comments:
Post a Comment