TANGAZO

Sunday, June 14, 2015

ACT Wazalendo wahuisha Azimio la Arusha mjini Tabora

Wakazi wa mji wa Tabora wakishangilia wakati viongozi wakuu wa Chama cha ACT Wazalendo, wakihutubia kwenye viwanja vya Town School, wakati wa uzinduzi wa Azimio la Tabora lililouhishwa kutoka Azimio la Arusha.
Wakazi wa mji wa Tabora wakishangilia wakati viongozi wakuu wa Chama cha ACT Wazalendo, walipokuwa wakihutubia kwenye viwanja vya Town School.
Wakazi wa mji wa Tabora wakishangilia wakati wa uzinduzi wa Azimio la Tabora lililouhishwa kutoka Azimio la Arusha.
Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Samson Mwigamba,  akiwahutubia wakazi wa mji wa Tabora juzi wakati wa mkutano wa hadhara kwenye viwanja vya ,Town School, mara baada ya kuzindua Azimio la Tabora lililouhishwa kutoka azimio la Arusha.
Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Samson Mwigamba, akiwahutubia wakazi wa mji wa Tabora juzi wakati wa mkutano wa hadhara kwenye viwanja vya Town School, mara baada ya kuzindua Azimio la Tabora lililouhishwa kutoka azimio la Arusha.

Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo, Anna Mghira, akiwahutubia wakazi wa mji wa Tabora juzi wakati wa mkutano wa hadhara kwenye viwanja vya ,Town School, mara baada ya kuzindua Azimio la Tabora lililouhishwa kutoka azimio la Arusha.

Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo, Anna Mghira, akiwahutubia wakazi wa mji wa Tabora juzi.
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, akiwahubia wakazi wa mji wa Tabora juzi wakati wa mkutano wa hadhara kwenye viwanja vya ,Town School, mara baada ya kuzindua Azimio la Tabora lililouhishwa kutoka azimio la Arusha.
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, akiwahubia wakazi wa mji wa Tabora juzi wakati wa mkutano wa hadhara kwenye viwanja vya Town School.
Wakazi wa mji wa Tabora wakionesha mabango, wakati wakifuatilia mkutano wa hadhara wa Chama cha ACT Wazalendo viwanja vya Town School, wakati wa uzinduzi wa Azimio la Tabora lililouhishwa kutoka Azimio la Arusha.

No comments:

Post a Comment