Wakurugenzi wa Bodi ya Wakurugenzi na Menejimenti ya ECOBANK wakishiriki Mkutano Mkuu wa mwaka wa benki hiyo, uliofanyika ukumbi wa Julius Nyerere Convention Centre jijini Dar es Salaam leo, 19 June 2015.
Wajumbe wa mkutano huo wa 27 wa mwaka wa Ecobank, wakifuatilia taarifa mbalimbali wakati wa mkutano huo jijini Dar es Salaam leo.
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa 27 wa Ecobank wakiwa kwenye mkutano huo, katika Ukumbi wa Julius Nyerere Convention Centre, jijini Dar es Salaam leo, 19 June 2015.
Mmoja wa wajumbe wa mkutano huo, akichangia mada zilizowasilishwa katika mkutano huo.
Mmoja wa wajumbe wa mkutano huo, akichangia mada zilizowasilishwa katika mkutano huo.
Mmoja wa wajumbe wa mkutano huo, akichangia mada zilizowasilishwa katika mkutano huo.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano cha Ecobank Group, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari, wakati wakuu wa benki hiyo, walipokuwa wakizungumza nao jijini leo.
Mkutano wa waandishi wa habari na wakuu wa Ecobank Group, uliofanyika ukumbi wa Julius Nyerere Convention Centre jijini Dar es Salaam leo, 19 June 2015. mara baada ya kumalizika mkutano mkuu wa mwaka wa benki hiyo.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Ecobank Group, Albert Essien akielezea jambo wakati alipokuwa akijibu maswali ya waandishi wa habari katika mkutano huo. Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Emmanuel Ikazoboh na kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Fedha, Laurence do Rego.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Montage waandaaji wa mkutano huo, wakijadiliana jambo na Meneja Uhusiano wa Ecobank tawi la Tanzania, wakati wa mkutano huo jijini leo.
No comments:
Post a Comment