Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Fenella Mukangara, akiwavika medali wachezaji na makocha wa timu ya Yanga baada ya kuwa mabingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Yanga katika mchezo dhidi ya Azam wamefungwa mabao 2-1. (Picha zote na Khamisi Mussa)
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Fenella Mukangara, akimvika medali kocha wa timu ya Yanga baada ya kuwa mabingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Yanga katika mchezo dhidi ya Azam leo, wamefungwa mabao 2-1.
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Fenella Mukangara, akimvika medali mmoja wa wachezaji wa Yanga baada ya kuwa mabingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Yanga katika mchezo dhidi ya Azam walifungwa mabao 2-1.
Wachezaji wa Yanga wakiwa na kombe lao la ubingwa, mara baada ya kukabidhiwa na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Fenella Mukangara, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Yanga katika mchezo dhidi ya Azam walifungwa mabao 2-1.
Wachezaji wa Yanga wakishangilia wakiwa na kombe lao la ubingwa, mara baada ya kukabidhiwa na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Fenella Mukangara, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Yanga katika mchezo dhidi ya Azam walifungwa mabao 2-1.
Wachezaji wa Yanga wakishangilia wakiwa na kombe lao la ubingwa, mara baada ya kukabidhiwa na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Fenella Mukangara, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Yanga katika mchezo dhidi ya Azam walifungwa mabao 2-1.
Wachezaji wa Yanga wakishangilia wakiwa na kombe lao la ubingwa, mara baada ya kukabidhiwa na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Fenella Mukangara, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Wachezaji wa Yanga wakishangilia huku wakiwa wamelinyanyua juu Kombe lao la ubingwa, mara baada ya kukabidhiwa na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Fenella Mukangara, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Wachezaji wa Yanga wakishangilia wakiwa na kombe lao la ubingwa, mara baada ya kukabidhiwa na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Fenella Mukangara, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Wachezaji wa Yanga wakishangilia huku wakilitembeza Kombe lao la ubingwa mara baada ya kukabidhiwa na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Fenella Mukangara, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Machezaji wa Yanga, Nizar Khalfan akiwa amembeba shabiki wa Yanga mwenye ulemevu wakishangilia mara baada ya kukabidhiwa kombe lao la ubingwa na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Fenella Mukangara, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Wachezaji wa Yanga, wakiwa katika Shamra shamra za ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Wachezaji wa Yanga wakishangilia kombe la ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Mashabiki wa Yanga wakishangilia ubingwa huku wakiwa wamewasha fashi fashi za moto, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Wachezaji wa Yanga wakishauriana jambo huku wakiwa na Kombe lao la ubingwa, baada ya kukabidhiwa na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Fenella Mukangara, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub Kanavaro, akihojiwa.
No comments:
Post a Comment