TANGAZO


Friday, May 8, 2015

Serikali yatoa Taarifa ya Tume kukamilisha kazi ya Uchunguzi dhidi ya Maswi wa Nishati kuhusika na sakata la ESCROW na ile ya Operesheni Tokomeza

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (kushoto) akisoma taarifa ya kukamilika kwa uchunguzi dhidi ya  aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Eliakimu Maswi kuhusu kuhusika kwake na kashfa ya Escrow na ile ya tume ya uchunguzi wa malalamiko yaliyotokana na utekelezaji wa operesheni tokomeza kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kulia niMwandishi wa Habari Msaidizi wa Rais Bi. Premi Kibanga.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (kushoto) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati alipokuwa akisoma taarifa ya kukamilika kwa uchunguzi dhidi ya  aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Eliakimu Maswi kuhusu kuhusika kwake na kashfa ya Escrow na ile ya tume ya uchunguzi wa malalamiko yaliyotokana na utekelezaji wa operesheni tokomeza mapema hii leo jijini Dar es Salaam , kulia niMwandishi wa Habari Msaidizi wa Rais Bi. Premi Kibanga.
Baadhi ya waandishi wa habari wakimfuatilia kwa makini Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue wakati akisoma taarifa ya kukamilika kwa uchunguzi dhidi ya  aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Eliakimu Maswi kuhusu kuhusika kwake na kashfa ya Escrow na ile ya tume ya uchunguzi wa malalamiko yaliyotokana na utekelezaji wa operesheni tokomeza. (Picha zote na Eliphace Marwa – MAELEZO)

No comments:

Post a Comment