Pages

Tuesday, May 5, 2015

Ofisi ya Rais-Utumishi wa Umma yafanya mkutano maalum wa Baraza la Wafanyakazi

Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais-Utumishi wakifuatilia mada katika mkutano maalum wa Baraza la Wafanyakazi uliofanyika hoteli ya J.B Delmonte mapema leo. 
Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais-Utumishi wakiwa katika mkutano maalum wa Baraza la wafanyakazi uliofanyika hoteli ya J.B Delmonte mapema leo. 
Kaimu Katibu Mkuu - Utumishi Bw.HAB Mkwizu akifungua mkutano maalum wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma katika ukumbi wa hoteli ya J.B Delmonte mapema leo. Kulia kwake ni Katibu wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais-Utumishi Bi.Lilian Denis. 
Kaimu Katibu Mkuu - Utumishi Bw.HAB Mkwizu (aliyesimama)  akifungua mkutano maalum wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma uliofanyika hoteli ya J.B Delmonte mapema leo. 
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu Ofisi ya Rais-Utumishi Bw.Aloyce Msigwa (aliyesimama) akichangia mada katika mkutano maalumu wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma uliofanyika hoteli ya J.B Delmonte mapema leo.

No comments:

Post a Comment