Rapa mkongwe kwenye muziki wa Live Joniko Flower(wa kwanza kushoto) akiendelea kutoa burudani ya nguvu huku msanii mwenzake Sony
Masamba akiendlea kuzirundi ngoma ndani ya kiota cha Thai Village
Masaki jijini Dar. Usikose leo kwenye shoo yao maana kuna vitu vingi
vipya.
Meneja
wa Skylight Band Aneth Kushaba AK 47 akiimba sambamba na msanii
mwenzake Sam Mapenzi uku wakisindindikizwa na dada mwenye sauti ya
kumtoa nyoka pangoni Ashura Kitenge(wa kwanza kushoto).
Sam
Mapenzi akitoa burudani huku akisindikizwa na wanamziki wenzake
waliokuwa wakiziruzi ngoma za Nigeria ambao ni Joniko Flower(wa kwanza
kushoto), Ashura Kitenge(wa pili kutoka kulia) pamoja na Sony Masamba.
Burudani ikiendelea.
Rapa
mkongwe kwenye muziki wa Live Joniko Flower(wa kwanza kushoto)
akiongoza kikosi cha bend ya Skylight waliokuwa wakitoa burudani kwa
mashabiki wao (hawapo picha) kwenye kiota cha Thai Village, Masaki
jijini Dar.
Waimbaji wa Skylight Band wakicheza moja ya nyimbo zao kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
Meneja
wa Skylight Band Aneth Kushaba AK 47 akiimba kwa hisia kali mbele ya
mashabiki i wa bendi hiyo(hawapo pichani) waliofika kwenye Kiota Cha
Thai Village kuburusika na Bendi hiyo.
Msanii wa bendi ya Skylight, Sony Masamba akicheza mmoja ya style mpya ya bendi hiyo mbele ya mashabiki wao (hawapo pichani).
Joniko Flower na Sony Masamba wakiwatizama mashabiki wa bendi hiyo kama wamejua kucheza style mpya.
Msanii
wa Bendi ya Skylight, Sony Masamba(wa kwanza kushoto) akiendelea kutoa
burudani huku akisindikizwa na wasanii wenzake ambao ni Ashura
Kitenge(wa kanza kulia) pamoja na Sam mapenzi( katikati).
Waimbaji wa Skylight Band wakiendelea kutoa burudani kwa wapenzi na mashabiki wa bendi hiyo (hawapo pichani).
Mashabiki wakiendelea kuziruka ngoma za bendi ya Skylight
Waimbaji
wa bendi ya Skylight wakiendelea kutoa burudani ndani ya kiota cha
Thai Village Masaki jijini Dar usikose leo njoo na yule umpendae ili
ujionee raha ya bendi hii.
Mambo ya Selfie hayakosi ndani ya Kiota cha Thai village wakati wa beni ya Skylight ikiendelea kutoa burudani.
Rapa
mkongwe kwenye muziki wa Live Joniko Flower (wa kwanza kushoto)
akiendelea kutoa burudani ya nguvu huku akisindikizwa na wasanii wenzake
ambao ni Sony Masamba (katikati) pamoja na Sam mapenzi (wa kwanza kutoka kulia)
Mashabiki
na wapenzi wa Bendi ya Skylight wacheza mduara wakati wa bend hiyo
ikitoa burudani ndani ta kiota cha Thai Village masaki jijini Dar.
Ashura
Kitenge akiimba mbele ya mashabiki wa Skylight Band(hawapo pichani)
kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar huku akisindikizwa
na wanamziki wenzake ambao ni Sony Masamba(wa kwanza kushoto), Meneja
wa Skylight Band Aneth Kushaba AK 47 (wa pili kutoka kushoto) pamoja
na Joniko Flower (wa kwanza kutoka kulia)
Rapa mkongwe kwenye muziki wa Live Joniko Flower(wa kwanza kushoto) akiimba na mwanamziki mwenzake Sony Masamba Ijumaa iliyopita kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
Joniko Flower na mwanamziki mwenzake Sony Masamba wakizirudi ngoma za kikongo.
Ashura
Kitenge akiimba mbele ya mashabiki wa Skylight Band(hawapo pichani)
kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar huku akisindikizwa
na Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK 47 (kushoto) pamoja na Sam
Mapenzi(kulia)
Ilikuwa ni kusakata rumba mpaka kuchwee yaani ilikuwa ni noma sana.
Mmoja wa mashabiki wa Bendi ya Skylight akichukua kumbukumbu.
|
| ||||||
Friday, May 1, 2015
Njoo tusherehekee Mei Dei pamoja na SKYLIGHT BAND leo ndani ya Kiota cha Thai Village, Masaki jijini Dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment