TANGAZO


Tuesday, May 5, 2015

Meya wa Manispaa ya Kinondoni Yusuf Mwenda akabidhiwa tuzo ya Meya/Halmashauri Bora Afrika

Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuf Mwenda, akiionesha tuzo ya Meya na Halmashauri Bora Afrika, waliyoshinda katika mashindano yaliyoandaliwa na Jumuia ya Tawala za Mitaa Afrika (UCLGA), mara baada ya kukabidhiwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia (katikati), Dar es Salaam leo. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa, Saidi Sadiki. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuf Mwenda, akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhiwa Tuzo, Mfano wa hundi ya Dolla 100,000 na cheti cha kuwa Meya na Halmashauri Bora Afrika, waliyoshinda katika mashindano yaliyoandaliwa na Jumuia ya Tawala za Mitaa Afrika (UCLGA), hivi karibuni. Katikati ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia (katikati) na kushoto ni Mkuu wa Mkoa, Saidi Sadiki. 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Sadiki, akizungumza wakati wa hafla ya kumkabidhi Tuzo, Cheti na mfano wa hundi ya Dolla 100,000 Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuf Mwenda (kulia), Dar es Salaam leo. Katikati ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia akizungumza wakati alipomkabidhi Tuzo, Cheti na mfano wa hundi ya dolla za marekani 100,000, Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuf Mwenda (kulia), Dar es Salaam leo, baada ya Halmashauri yake kushinda Tuzo ya Meya na Halmashauri Bora Afrika, waliyoshinda katika mashindano yaliyoandaliwa na Jumuia ya Tawala za Mitaa Afrika (UCLGA). Kushoto ni Mkuu wa Mkoa, Saidi Sadiki.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia (katikati), akikata utepe ili kuifungua zawadi ya cheti cha kuwa Meya Bora na kushinda Halmashauri Bora, Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuf Mwenda, Dar es Salaam leo, baada ya Halmashauri yake kushinda Tuzo ya Meya na Halmashauri Bora Afrika, waliyoshinda katika mashindano yaliyoandaliwa na Jumuia ya Tawala za Mitaa Afrika (UCLGA). Kushoto ni Mkuu wa Mkoa, Saidi Sadiki.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia (katikati), akimkabidhi cheti Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuf Mwenda, Dar es Salaam leo, baada ya Halmashauri yake kushinda Tuzo ya Meya na Halmashauri Bora Afrika, waliyoshinda katika mashindano yaliyoandaliwa na Jumuia ya Tawala za Mitaa Afrika (UCLGA). Kushoto ni Mkuu wa Mkoa, Saidi Sadiki.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia (katikati), akimkabidhi mfano wa hundi ya dolla za marekani 100,000, Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuf Mwenda, Dar es Salaam leo, baada ya Halmashauri yake kushinda Tuzo ya Meya na Halmashauri Bora Afrika, waliyoshinda katika mashindano yaliyoandaliwa na Jumuia ya Tawala za Mitaa Afrika (UCLGA). Kushoto ni Mkuu wa Mkoa, Saidi Sadiki.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia (katikati), akimkabidhi mfano wa hundi ya dolla za marekani 100,000, Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuf Mwenda, Dar es Salaam leo, baada ya Halmashauri yake kushinda Tuzo ya Meya na Halmashauri Bora Afrika, waliyoshinda katika mashindano yaliyoandaliwa na Jumuia ya Tawala za Mitaa Afrika (UCLGA). Kushoto ni Mkuu wa Mkoa, Saidi Sadiki.

No comments:

Post a Comment