Katibu wa bunge la Afrika Mashariki Balozi Dkt. Richard Sezibera akitoa neno la shukrani kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Mh. Dkt. Harrison Mwakyembe kufungua kongamano la siku mbili linalotathmini mchango wa vyombo vya habari katika kukuza demokrasia katika ukanda wa Afrika Mashariki, kongamano hilo linaloratibiwa na Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Harrison Mwakyembe akifungua kongamano la siku mbili mapema hii leo jijini Dar es Salaam linalotathmini mchango wa vyombo vya habari katika kukuza demokrasia katika ukanda wa Afrika Mashariki.
Baadhi ya Mabalozi na wadau wa habari wakimfuatilia kwa makini Waziri wa Ushirikianno wa Afrika Mashariki Dkt. Harrison Mwakyembe wakati akifungua kongamano la siku mbili mapema hii leo jijini Dar es Salaam linalotathmini mchango wa vyombo vya habari katika kukuza demokrasia katika ukanda wa Afrika Mashariki.
Mmoja wa wadau wa habari Dkt. Ayoub Rioba akichangia katika kongamano la siku mbili mapema hii leo jijini Dar es Salaam linalotathmini mchango wa vyombo vya habari katika kukuza demokrasia katika ukanda wa Afrika Mashariki.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari Assah Mwambene akijibu maswali mbalimbali ya washiriki wa kongamano la siku mbili mapema hii leo jijini Dar es Salaam linalotathmini mchango wa vyombo vya habari katika kukuza demokrasia katika ukanda wa Afrika Mashariki.
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akisikiliza kwa makini michango mbalimbali ya wadau wa habari wakati wa kongamano la siku mbili mapema hii leo jijini Dar es Salaam linalotathmini mchango wa vyombo vya habari katika kukuza demokrasia katika ukanda wa Afrika Mashariki, kushoto ni Katibu wa bunge la Afrika Mashariki Balozi Dkt. Richard Sezibera.
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Harrison
Mwakyembe (mwenye tai ya njano mbele) akiwa katika picha ya pamoja na wadau
mbalimbali wa habari wakati wa wa kongamano la siku mbili mapema hii leo jijini
Dar es Salaam linalotathmini mchango wa vyombo vya habari katika kukuza
demokrasia katika ukanda wa Afrika Mashariki, kushoto ni Katibu wa bunge la
Afrika Mashariki Balozi Dkt. Richard Sezibera na kulia. (Picha zote na Eliphace Marwa - MAELEZO)
No comments:
Post a Comment