Baadhi ya waandishi wa habari wakimfuatilia Chifu wa Kabila la Wazanaki Japhet Wanzagi mapema hii leo jijini Dar es Salaam juu ya upotoshwaji uliofanywa na gazeti moja la kila siku kuhusu taarifa za kutaja sifa za rais ajaye na kumponda Makongoro Nyerere kuwa hatoshi kwa nafasi ya Urais alidai taarifa za kumponda Makongoro Nyerere kuwa hatoshi kwa nafasi ya Urais si za kweli bali amelishwa maneno).
Chifu wa Kabila la Wazanaki Japhet Wanzagi katikati akitoa
ufafanuzi kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) mapaema hii leo jijini Dar
es Salaam juu ya upotoshwaji uliofanywa na gazeti moja la kila siku kuhusu taarifa
za kutaja sifa za rais ajaye ambapo, alidai taarifa za kumponda Makongoro Nyerere kuwa hatoshi kwa
nafasi ya Urais si za kweli bali amelishwa maneno).



No comments:
Post a Comment