Mkurugenzi Mkuu wa PBZ, Zanzibar, Juma Amour Mohamed, akifungua warsha ya siku moja juu ya huduma zianzotolewa na Islamic Bank, warsha iliyofanyika Hifadhi hoteli kisiwani Pemba.
PROFESA Manzer Kahf akiwasilisha mada kwa wananchi juu ya Umuhimu wa Islamic Bank, warsha hiyo iliyofanyika Hifadhi Hoteli Kisiwani Pemba. (Picha zote na Abdi Suleiman, PEMBA.)
No comments:
Post a Comment