TANGAZO


Monday, April 27, 2015

TBL yashiriki maadhimisho ya kutokomeza Malaria Duniani

Picha ya baadhi ya wafanyakazi wakiwa katika banda lao kabla ya  Maadhimisho ya Kutokomeza Ugonjwa wa Malaria Duniani   viwanja vya Farasi Dar es Salaam juzi      Oysterbay
 Matembezi
 Matembezi
 Matembezi
 Matembezi barabara ya Coco Beach
 Matembezi
Baadhi ya washiriki wakipata vinywaji katika moja ya kituo kilicho andaliwa eneo la Morogoro Stoo eneo la Oysterbay  wakati walipokua katika matembezi hayo yaliyoanzia viwanja vya Farasi.
Baadhi ya wafanyakazi wa Kiwanda cha Bia Dar es Salaa Tanzani wakifuatilia jambo wakati Balozi wa Malaria Tenga alipokuwa akizungumza na washiriki mbalimbali baada ya matembezi hayo katika Maadhimisho ya kutokomeza ugonjwa wa Malaria Duniani yaliyofanyika  Dar es Salaam  juzi.
Picha ya baadhi ya wafanyakazi wakiwa katika banda lao wakitowa huduma kwa washiriki kwenye Maadhimisho ya Kutokomeza Ugonjwa wa Malaria Duniani   viwanja vya Farasi Dar es Salaam juzi.
Balozi wa Kampeni  ya Malaria wa Tanzania na aliye kuwa Rais wa Shilikisho la Mpira  TFF Tenga akizungumza na washiriki mbalimbali baada ya matembezi hayo ya  Maadhimisho ya Kutokomeza Ugonjwa wa Malaria Duniani   viwanja vya Farasi Dar es Salaam juzi.
Balozi wa Kampeni ya Malaria wa Tanzania na aliye kuwa Rais wa Shilikisho la Mpira  TFF Tenga (wanne kushoto) katika picha ya pamoja na wafanyakazi mbalimbali wa kiwanda cha Bia Dar es Salaam Tanzania  katika  Maadhimisho ya Kutokomeza Ugonjwa wa Malaria  viwanja vya Farasi Dar es Salaam juzi.
Meneja Rasilimali watu kiwanda cha Bia Dar es Salaam Emmanuel Christopher ( wakwanza kulia) akimkabidhi Vyandarua 50  kwaniaba ya TBL  Balozi wa Kampeni  ya Malaria  Tanzania na aliye kuwa Rais wa Shilikisho la Mpira  TFF Tenga (wanne kushoto) katika Maadhimisho ya Kutokomeza Ugonjwa wa Malaria Duniani  viwanja vya Farasi ambapo  Dar es Salaam juzi (Picha zote na Richard Mwaikenda) 

No comments:

Post a Comment