Amiri Jeshi Mkuu, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete, wakitoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu Mtendaji wa Kamati ya Ukombozi ya Umoja wa Afrika (OAU) Kusini mwa Afrika, marehemu Brigedia Jenerali (mstaafu), Hashim Mbita katika Hospitali Kuu ya Jeshi, Lugalo jijini Dar es Salaam leo.
Amiri Jeshi Mkuu, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete, wakitoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu Mtendaji wa Kamati ya Ukombozi ya Umoja wa Afrika (OAU) Kusini mwa Afrika, marehemu Brigedia Jenerali (mstaafu), Hashim Mbita.
Rais Kikwete akiifariji familia ya marehemu Brigedia Jenerali Hashim Mbita, muda mfupi baada ya kutoa heshima za mwisho.
Rais Kikwete akiifariji familia ya marehemu Hashim Mbita mara baada ya kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu huyo, leo Hospitali ya Jeshi, Lugalo jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment