TANGAZO


Thursday, April 9, 2015

Rais Kikwete afungua kikao cha Wataalamu wa Lishe wa Umoja wa Mataifa jijini Dar es Salaam leo

Rais Jakaya Kikwete akizungumza kwenye ufunguzi wa Kikao cha Wataalamu wa Lishe wa Shirika la Umoja wa Kimataifa cha kujadili Lishe kwenye ukumbi wa Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam leo. 
Baadhi ya washiriki wa kikao wakimsikiliza Rais Jakaya Kikwete. 
Baadhi ya washiriki wa kikao wakimsikiliza Rais Jakaya Kikwete. 
Rais Jakaya Kikwete akiwa kwenye meza kuu na Mwenyekiti wa Jopo la Wataalamu wa Lishe kutoka Umoja wa Mataifa, Tom Arnold (kushoto) na kulia Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Kebwe Stephen Kebwe. 
Rais Jakaya Kikwete akiteta jambo na Mwenyekiti wa Jopo la Wataalamu wa Lishe wa Umoja wa Kimataifa, Tom Arnold.
Rais Jakaya Kikwete akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kufungua kikao hicho. 
Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Kebwe Stephen Kebwe akizungumza na waaandishi wa habari baada ya ufunguzi wa kikao hicho. 
Rais Jakaya Kikwete (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na washiriki wa kikao cha kujadili lishe. (Picha zote na Hussein Makame)

No comments:

Post a Comment