TANGAZO

Wednesday, April 29, 2015

Rais Dk Shein wa Zanzibar azindua mbio za Mwenge wa Uhuru mkoani Ruvuma

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein akihotubia leo mjini Songea wakati wa sherehe za uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa uhuru zilizofanyika kitaifa mkoani Ruvuma.

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu(kushoto) akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Songea Profesa Norman Sigalla King(kulia) Mwenge wa Uhuru uhuru kwa ajili ya kuanza mbio wilayani humo baada ya uzinduzi ulifanywa leo mjini Songea  na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein akihotubia leo mjini Songea.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge kwa mwaka 2015 Juma Khatibu Chum (kushoto) akimkabidhi  Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu (kulia)  Mwenge wa uhuru leo mjini Songea baada ya uzinduzi wa mbio hizo Kitaifa mkoani Ruvuma. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein (kushoto), akimkabidhi  Kiongozi wa Wakimbiza Mwenge Kitaifa Juma Khatibu Chum (kulia)  Mwenge wa uhuru leo mjini Songea baada ya uzinduzi wa mbio hizo Kitaifa mkoani Ruvuma.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein akiwasha Mwenge wa uhuru leo mjini Songea katika Uwanja wa Majimaji ikiwa ni sehemu ya sherehe za uzinduzi wa mbio za Mwenge kwa mwaka 2015. 

Muasisi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Mkuu wa Wilaya wa Kwanza mwafrika kuteuliwa na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Alhaj Mustafa Mohamed Songambele (90) akiongea na mwakishi wa Channel ten mkoani Ruvuma Marietha Msembele (kushoto) leo mjini Songea wakati wa Sherehe za uzinduzi wa mbio za Mwenge wa uhuru uliozinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein. 
Baadhi ya umati wa wananchi wakifuatilia sherehe za uzinduzi wa mbio za Mwenge wa uhuru uliozinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein leo mjini Songea. 
Baadhi ya umati wa watumishi wa umma na sekta binafsi wakifuatilia sherehe za uzinduzi wa mbio za Mwenge wa uhuru uliozinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein 
leo mjini Songea. (Picha zote na Frank Shija na Tiganya Vincent-Songea)

No comments:

Post a Comment