TANGAZO


Sunday, April 26, 2015

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari ajionea athari za hitilafu ya mitambo New Africa Hotel jijini Dar es Salaam

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Prof. Elisante Ole Gabriel (mwenyekoti), akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Usalama wa Hotel ya New Afrika ya jijini Dar es Salaam, Bw. Isack Kabugu kuhusu hitilafu ya kiufundi iliyotokea katika mtungi wa kuhifadhi moto katika Hoteli hiyo ambayo ilileta athari katika majengo ya Ofisi zilizopo jirani na hoteli hiyo ikiwemo Ofisi ya Idara ya Habari na Ofisi ya Bodi ya Filamu Tanzania, zilizopo chini ya Wizara hiyo leo, Jumapili April 26, 2015. 
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Prof. Elisante Ole Gabriel (mwenyekoti), akijionea athari mbalimbali zilizosababishwa na hitilafu ya kiufundi iliyotokea katika mtungi wa kuhifadhi moto katika Hoteli hiyo, hatua iliyosababisha uharibifu wa majengo ya Ofisi zilizopo jirani na hoteli hiyo, ikiwemo Ofisi ya Idara ya Habari na Ofisi ya Bodi ya Filamu Tanzania zilizopo chini ya Wizara hiyo leo, Jumapili April 26, 2015. 
Mafundi Mitambo wa Hoteli ya New Africa ya jijini Dar  es Salaam wakiangalia athari zilizo tokana na hitilafu ya kiufundi iliyotokea katika mtungi wa kuhifadhi moto katika Hoteli hiyo ambayo ilileta athari katika majengo ya Ofisi zilizopo jirani na hoteli hiyo, ikiwemo ofisi ya Idara ya Habari na Ofisi ya Bodi ya Filamu Tanzania zilizopo chini yaWizara hiyo leo, Jumapili April 26, 201). (Picha zote na MAELEZO)

No comments:

Post a Comment