Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Polisi Dawati la Jinsia Mkoa wa Kinondoni, Inspekta Prisca Komba akisisitiza jambo kwa wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakati alipokuwa akitoa elimu juu ya sheria inayomlinda mtoto kwenye mwendelezo wa semina za mafunzo ya jinsia zinaoandaliwa na kampuni hiyo kwa ajili ya wafanyakazi wake iliyofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam leo.
Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Polisi Dawati la Jinsia Mkoa wa Kinondoni, Inspekta Prisca Komba akitoa elimu juu ya sheria inayomlinda mtoto kwa wafanyakazi wa Vodacom Tanzania kwenye mwendelezo wa semina za mafunzo ya jinsia zinaoandaliwa na kampuni hiyo kwa ajili ya wafanyakazi wake iliyofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam leo.
Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano ya Umma na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia (aliyesimama) akimuuliza swali Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Polisi Dawati la Jinsia Mkoa wa Kinondoni, Inspekta Prisca Komba (hayupo pichani) wakati wa mafunzo juu ya sheria inayomlinda mtoto kwenye mwendelezo wa semina za mafunzo ya jinsia zinaoandaliwa na kampuni hiyo kwa ajili ya wafanyakazi wake iliyofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam leo.
Mfanyakazi wa Vodacom Tanzania, Nicas Kacharuzi
(aliyesimama) akimuuliza swali Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Polisi
Dawati la Jinsia Mkoa wa Kinondoni, Inspekta Prisca Komba
(hayupo pichani) wakati wa mafunzo juu ya sheria inayomlinda mtoto kwenye
mwendelezo wa semina za mafunzo ya jinsia zinaoandaliwa na kampuni hiyo kwa
ajili ya wafanyakazi wake iliyofanyika Mlimani City jijini Dar es
Salaam leo. (Picha zote na Mpigapicha wetu)
No comments:
Post a Comment