Saturday, February 28, 2015
Rais Kikwete aongoza Kikao Cha Kamati Kuu ya CCM Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (kulia), akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri kuu ya Taifa Ikulu jijini Dar es Salaam leo. Wapili kulia ni Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein na wa watu kulia ni Makamu wa Rais Dkt. Mohamed Gharib Bilal. Kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwaongoza wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa kusimama kwa dakika chache kumkumbuka mjumbe wa Baraza la Wawakilishi wa Jimbo la Magomeni Zanzibar, ambaye pia alikuwa mjumbe wa kamati hiyo, marehemu Salmin Awadh Salmin. leo wakati wa kuanza kikao cha kamati hiyo ikulu jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Freddy Maro)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment