Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh. Celina O. Kombani (Mb) akiwakaribisha
ofisini kwake Mkuu wa Taasisi ya
Ujerumani iitwayo Hanns Seidel Foundation kwa Afrika na ukanda wa Sahara Bw. Claus
Liepert (wa pili kushoto) pamoja na mwakilishi mkazi wa taasisi hiyo hapa Tanzania
Bi. Julia Gabler (wa kwanza kushoto).
Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh. Celina O. Kombani (Mb) akiwa katika
mazungumzo na wawakilishi wa Taasisi ya Hanns
Seidel Foundation Bi. Julia Gabler
(wa kwanza kulia) na Bw. Claus Liepert (wa pili kulia).
Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh. Celina O. Kombani (Mb) akifafanua
jambo wakati wa mazungumzo na ujumbe wa Taasisi ya Hanns Seidel Foundation ulioongozwa na Mkuu wa Afrika na Kanda ya
Sahara Bw. Claus Liepert.
Mkuu wa Taasisi ya Hanns Seidel Foundation kwa Afrika na kanda ya Sahara Bw. Claus
Liepert akisaini kitabu cha wageni alipotembelea Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi
wa Umma.
Mwakilishi Mkazi wa Taasisi
ya Hanns Seidel Foundation Tanzania Bi. Julia Gabler (wa pili kushoto) akisaini kitabu
cha wageni alipotembelea Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh. Celina O. Kombani (Mb) akiagana na
ujumbe kutoka Taasisi ya Hanns Seidel
Foundation ulioongozwa na Bw. Claus Liepert (kulia) mara baada ya kumaliza
mazungumzo ofisini kwake.
No comments:
Post a Comment