TANGAZO


Sunday, January 18, 2015

Twanga Pepeta yazindua ukumbi wake mpya wa Business Lounge, jengo la Machinga Comlex, Karume jijini Dar es Salaam

Mwimbaji Mwandamizi na Kiongozi wa bendi ya Twanga Pepeta, Lwiza mbutu, akizungumza wakati uzinduzi wa ukumbi mpya wa Business Lounge, unaomilikiwa na Mkurugenzi wa kundi hilo, Asha Baraka, uliopo kwenye jengo la Machinga Comlex, Karume, Ilala, Dar es Salaam, ambao bendi hiyo, itakuwa ikitumbuiza kila Jumatano ya wiki na uzinduzi wa maadhimisho ya miaka 16 tokea kujiunga na kundi hilo, jijini juzi. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Mwimbaji Mwandamizi na Kiongozi wa bendi ya Twanga Pepeta, Lwiza mbutu, akiwa na baadhi ya wasanii wa kundi hilo, akizungumza kwenye uzinduzi wa ukumbi mpya wa Business Lounge, unaomilikiwa na Mkurugenzi wa kundi hilo, Asha Baraka, uliopo kwenye jengo la Machinga Comlex, Karume, Ilala, Dar es Salaam, ambao bendi hiyo, itakuwa ikitumbuiza kila Jumatano ya wiki na uzinduzi wa maadhimisho ya miaka 16 tokea kujiunga na kundi hilo, jijini juzi. 
Mmoja wa wanenguaji wa bendi ya Twanga Pepeta, akirapu wakati wa uzinduzi wa ukumbi mpya wa Business Lounge, unaomilikiwa na Mkurugenzi wa kundi hilo, Asha Baraka, uliopo kwenye jengo la Machinga Comlex, Karume, Ilala, jijini Dar es Salaam,
Mwimbaji wa Twanga Pepeta, Dogo Rama akiimba, wakati wa uzinduzi wa ukumbi mpya wa Business Lounge, unaomilikiwa na Mkurugenzi wa kundi hilo, Asha Baraka, uliopo kwenye jengo la Machinga Comlex, Karume, Ilala, jijini Dar es Salaam juzi.
Mwimbaji Mwandamizi na Kiongozi wa bendi ya Twanga Pepeta, Lwiza mbutu, akiimba wakati wa uzinduzi wa ukumbi mpya wa Business Lounge, unaomilikiwa na Mkurugenzi wa kundi hilo, Asha Baraka, uliopo kwenye jengo la Machinga Comlex, Karume, Ilala, Dar es Salaam, ambao bendi hiyo, itakuwa ikitumbuiza kila Jumatano ya wiki pia katika uzinduzi wa maadhimisho ya miaka 16 tokea kujiunga na kundi hilo, jijini juzi.
Mkurugenzi wa bendi ya Twanga Pepeta, Asha Baraka, akizungumza, wakati wa uzinduzi wa ukumbi mpya wa Business Lounge, anaoumiliki kwenye jengo la Machinga Comlex, Karume, Ilala, Dar es Salaam, ambao bendi hiyo, itakuwa ikitumbuiza kila wiki.
Mkurugenzi wa bendi ya Twanga Pepeta, Asha Baraka, akizungumza, wakati wa uzinduzi wa ukumbi mpya wa Business Lounge, anaoumiliki kwenye jengo la Machinga Comlex, Karume, Ilala, Dar es Salaam, ambao bendi hiyo, itakuwa ikitumbuiza kila wiki.
Mkurugenzi wa bendi ya Twanga Pepeta, Asha Baraka (wapili kulia), akizirudi ngoma za kundi hilo, sambamba na wasanii wa bendi hiyo, wakati wa uzinduzi wa ukumbi mpya wa Business Lounge, anaoumiliki kwenye jengo la Machinga Comlex, ambao bendi hiyo, itakuwa ikitumbuiza kila wiki na maadhimisho ya miaka 16 ya msanii Lwiza Mbutu (kushoto), akiwa na kundi hilo, Dar es Salaam juzi. 
Mkurugenzi wa bendi ya Twanga Pepeta, Asha Baraka (wapili kulia), akizirudi ngoma za kundi hilo, wakati wa uzinduzi wa ukumbi huo mpya wa Business Lounge, anaoumiliki uliopo kwenye jengo la Machinga Comlex, jijini Dar es Salaam juzi.
Mkurugenzi wa bendi ya Twanga Pepeta, Asha Baraka (kulia), akizirudi ngoma za kundi hilo, sambamba na Kiongozi wa kundi hilo, Lwiza Mbutu, wakati wa uzinduzi wa ukumbi huo mpya wa Business Lounge na uzinduzi wa madhimisho ya miaka 16 ya msanii na kiongozi wa kundi hilo, Lwiza Mbutu.

1 comment: