Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Mawaziri na Manaibu Waziri aliowaapisha Ikulu jijini Dar es Salaam jioni hii. Wanne kushoto ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda na kulia ni Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue. (Picha zote na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment