TANGAZO


Wednesday, January 7, 2015

Rais Dk.Shein akutana na Balozi wa Comoro nchini, Ikulu mjini Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Comoro Nchini Tanzania Dk. Ahamada El Badaoui  Mohamed alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa mazungumzo na Rais. (Picha zote na Ikulu)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Comoro Nchini Tanzania Dk. Ahamada El Badaoui  Mohamed alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akifuatana  na  Balozi wa Comoro Nchini Tanzania Dk .Ahamada El Badaoui  Mohamed baada ya mazungumzo yao leo  alipofika Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akiagana na  Balozi wa Comoro Nchini Tanzania Dk. Ahamada El Badaoui  Mohamed baada ya mazungumzo yao leo  alipofika Ikulu Mjini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment