TANGAZO


Saturday, January 10, 2015

Nahodha afungua Skuli ya Sekondari ya Jumbi

Waziri kiongozi mstaafu ambaye pia ni Mwakilishi wa Jimbo la Mwanakwerekwe Shamsi Vuai Nahodha akikunjuwa kitambaa ikiwa ni ishara ya Ufunguzi wa Skuli ya Sekondary ya Jumbi Wilaya ya kati Unguja ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 51ya mapinduzi ya Zanzibar.Nyuma yake ni Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Zahra Ali Hamad.
Waziri kiongozi mstaafu ambae pia ni Mwakilishi wa Jimbo la Mwanakwerekwe Shamsi Vuai Nahodha akikata utepe ikiwa ni isharaya Ufunguzi wa Skuli ya Sekondary ya Jumbi Wilaya ya kati Unguja ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 51ya mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri kiongozi mstaafu ambaye pia ni Mwakilishi wa Jimbo la Mwanakwerekwe Shamsi Vuai Nahodha akitembelea maeneo mbalimbali ya Skuli ya Sekondari ya Jumbi, Wilaya ya Kati Unguja baada ya kuifungua.Kushoto yake ni Mwalimu Mkuu wa Skuli hiyo Juma Vuai Mshamba.
Waziri kiongozi mstaafu ambaye pia ni Muakilishi wa Jimbo la Mwenakwerekwe Shamsi Vuai Nahodha wakwanza kulia akiangalia Madawati yaliomo katika moja ya madarasa ya Skuli ya Sekondary ya Jumbi Wilaya ya Kati Unguja baada ya kuifungua, ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 51ya mapinduzi ya Zanzibar.
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali  Zahra Ali Hamad.akitoa hotuba ya makaribisho kwa Waziri kiongozi mstaafu ambae pia ni Muakilishi wa Jimbo la Mwanakwerekwe Shamsi Vuai Nahodha katika ufunguzi wa Skuli ya Sekondary ya jumbi Wilaya ya kati Unguja baada ya kuifungua,ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka  51ya mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri kiongozi mstaafu ambae pia ni Muakilishi wa Jimbo la Mwenakwerekwe Shamsi Vuai Nahodha akitoa hotuba katika ufunguzi wa Skuli ya Sekondary ya jumbi Wilaya ya kati Unguja baada ya kuifungua, ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 51 ya mapinduzi ya Zanzibar.
(Picha zote na Yussuf Simai-Maelezo, Zanzibar)

No comments:

Post a Comment