TANGAZO


Friday, January 16, 2015

Maofisa wa Jeshi la Polisi nchini wapatiwa mafunzo maalum na Vodacom

Meneja Huduma wa Vodacom Tanzania, Simon Martin, akitoa mafunzo kwa baadhi ya askari wa Jeshi la Polisi, Makao  Makuu ya Usalama Barabarani (Trafiki), Dar es Salaam juzi, jinsi ya matumizi ya simu za mkononi kwa kutumia Intaneti na kumiliki simu bila ya kuazimana.
Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani (Trafiki) nchini, Kamanda Mohamed Mpinga (kushoto), akimuuliza swali Meneja Huduma wa Vodacom Tanzania, Simon Martin (kulia), wakati alipokuwa akitoa mafunzo maalumu kwa baadhi ya Maofisa wa Jeshi la Polisi Makao Makuu, Dar es Salaam juzi kuhusu jinsi ya matumizi ya simu za mkononi kwa kutumia Intaneti na kumiliki simu bila ya kuazima.
Meneja Huduma wa Vodacom Tanzania, Simon Martin, akitoa mafunzo kwa baadhi ya askari wa Jeshi la Polisi, Makao  Makuu ya Usalama Barabarani (Trafiki), Dar es Salaam juzi, jinsi ya matumizi ya simu za mkononi kwa kutumia Intaneti na kumiliki simu bila ya kuazimana. (Picha zote na Mpigapicha Wetu)

No comments:

Post a Comment