TANGAZO


Wednesday, January 21, 2015

Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Balozi Seif Ali Idd awa mgeni rasmi sherehe za miaka 50 ya CBE Dar es Salaam leo

Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Prof. Emanuel Mjema (wa pili kutoka kulia) akimtambulisha viongozi wa chuo cha CBE ,Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally Idd (katikati) leo jijini Dar es Salaam wakati wa maadhimisho ya chuo hicho kutimiza miaka 50. Kulia ni Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt.Abdallah Kigoda. (Picha zote na Aron Msigwa –MAELEZO)
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally Idd akipata maelezo kutoka kwa  Bi. Esther Kibua, mwanafunzi wa mwaka wa 3 wa chuo cha Elimu ya Biashara CBE kampasi ya Dar es salaam juu ya namna chuo hicho kinavyowaandaa kuitumia elimu wanayoipata chuoni hapo pindi watakapomaliza masomo yao.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally Idd akimuuliza swali Bi. Esther  Kibua, mwanafunzi wa mwaka wa 3 wa chuo cha Elimu ya Biashara CBE kampasi ya Dar es salaam  alipotembelea banda la maonesho la wanafunzi wa Chuo cha CBE leo jijini Dar es salaam wakati wa sherehe za  kilele cha miaka 50 ya chuo hicho.
 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally Idd, akipatiwa maelezo na Meneja wa Kitengo cha Kompyuta, Zuberi Kirondomara.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally Idd na Amanda Blasius wa Idara ya Masoko wa chuo hicho.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally Idd na Amanda Blasius wa Idara ya Masoko wa chuo hicho.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally Idd,akipatiwa maelezo na Said Masisa wa Idara ya Manunuzi ya chuo hicho, wakati alipotembelea maonesho hayo chuoni hapo leo.  
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally Idd, akipatiwa maelezo na Mathew Kodema (kulia) na Isaac Mngereza, wote wa Idara ya Uhasibu ya chuo hicho, wakati alipotembelea maonesho hayo chuoni hapo leo. 
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally Idd, akipatiwa maelezo na Mathew Kodema (kulia) na Isaac Mngereza, wote wa Idara ya Uhasibu ya chuo hicho, wakati alipotembelea maonesho hayo chuoni hapo leo.  
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally Idd, akipatiwa maelezo na Wilson Magembe wa Idara ya Biashara na Utawala ya chuo hicho. 
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally Idd, akipatiwa maelezo na Mwalimu wa Idara ya Mizani na Vipimo wa Chuo hicho, Bw. Faraja Nyoni, wakati alipotembelea kwenye banda la maonesho katika maadhimisho hayo, chuoni hapo leo. 
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ally Idd, akipatiwa maelezo kuhusu Idara ya Vipimo na mizani na Mwalimu wa idara hiyo ya Chuo hicho, Bw. Faraja Nyoni.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally Idd akifafanua jambo alipotembelea banda la maonesho la Idara ya Mizani na Vipimo la Chuo cha CBE leo jijini Dar es salaam wakati wa sherehe za  kilele cha miaka 50 ya chuo hicho. Kushoto ni Mwalimu wa Idara ya Mizani na Vipimo wa Chuo hicho Bw. Faraja Nyoni. 
Baadhi ya wageni, wanafunzi na waliosoma Chuo cha CBE, wakiwa kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya chuo hicho.
Baadhi ya wageni, wanafunzi na waliosoma Chuo cha CBE, wakiwa kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya chuo hicho. 
Mmoja wa mwanafunzi aliyesoma kwenye Chuo cha CBE, Peter Shija, akizungumza wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya chuo hicho leo. 
Wasanii wa Kikundi cha ngoma cha Polisi, wakiburudisha kwa ngoma ya Kibati kutoka Pemba, wakati wa hafla hiyo.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally Idd, akiwa pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha CBE, Profesa Methew Luhanga (katikati) na Mkuu wa chuo hicho, Profesa Emmanuel Mjema (kushoto), wakifuatilia burudani iliyokuwa ikitolewa na kikundi cha ngoma cha Polisi wakati wa hafla hiyo.
Wasanii wa Kikundi cha ngoma cha Polisi, wakiburudisha kwa ngoma ya Kibati kutoka Pemba, wakati wa hafla hiyo.
Baadhi ya wanafunzi waliosoma kwenye Chuo cha CBE, Dar es Salaam, wakiwa katika hafla hiyo.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ally Idd (kushoto), akiteta jambo na Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Abdallah Kigoda, wakati wa hafla ya maadhimisho hayo.
Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha CBE, Profesa Methew Luhanga, akizungumza wakati wa hafla ya maadhimisho hayo.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ally Idd, akitoa hotuba wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya Chuo cha CBE, Dar es Salaam leo.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ally Idd, akihutubia wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya Chuo cha CBE, Dar es Salaam leo.
 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ally Idd, akiabidhiwa zawadi ya saa na Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha CBE, Profesa Methew Luhanga, wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya chuo hicho.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally Idd (katikati mbele), akiwa pamoja na Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Abdallah Kigoda (kushoto kwake), Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha CBE, Profesa Methew Luhanga (kulia kwake) na kushoto ni Mkuu wa chuo hicho, Profesa Emmanuel Mjema.

No comments:

Post a Comment