TANGAZO


Wednesday, January 7, 2015

Mabalozi wa Ujerumani na Misri wakutana na Rais Shein Ikulu mjini Unguja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Misri nchini Tanzania Hossam Mohamram alipofika Ikulu Mjini Uguja jana asubuhi kwa mazungumzo. (Picha zote na Ikulu) 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Misri nchini Tanzania Hossam Mohamram alipofika Ikulu Mjini Uguja jana asubuhi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akiagana na Balozi wa Misri nchini Tanzania Hossam Mohamram baada ya mazungumzo yao jana, alipofika Ikulu Mjini Uguja. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Ujerumani Nchini Tanzania Egon Kochanke alipofika Ikulu Mjini Uguja jana asubuhi kwa mazungumzo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Ujerumani Nchini Tanzania Egon Kochanke alipofika Ikulu Mjini Uguja jana asubuhi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Ujerumani Nchini Tanzania Egon Kochanke (katikati), alipofika Ikulu Mjini Uguja leo asubuhi, akifuatana na Mkurugenzi wa Shirika la Kimataifa la Tamasha la Afrika, Stefan  Oschman (kushoto), kumuona Rais.

No comments:

Post a Comment