Pages

Wednesday, January 28, 2015

Maafisa Mawasiliano wapata mafunzo Mjini Mtwara

Mtaalamu wa Mambo ya Mawasiliano toka Uingereza Bw. Simon McDowall akiwasilisha mada kuhusu uandishi wa hotuba na namna bora ya uwasilisha wa mada wakati wa kikao kazi cha Maafisa Mawasiliano leo Mkoani Mtwara.
Baadhi ya Maafisa Mawasiliano wakishiriki katika mafunzo kwa kujibu hoja mbalimbali zilizokuwa zikitolewa na Bw. Simon McDowall wakati wa kikao kazi cha Maafisa Mawasiliano leo Mkoani Mtwara.
Baadhi ya Maafisa Mawasiliano wakishiriki katika mafunzo kwa kujibu hoja mbalimbali zilizokuwa zikitolewa na Bw. Simon McDowall wakati wa kikao kazi cha Maafisa Mawasiliano leo Mkoani Mtwara.
Mtaalamu wa Mambo ya Mawasiliano toka Uingereza Bw. Simon McDowall akimueleza jambo Afisa Mawasiliano toka Tume ya vyuo vikuu Bi.Thea Mtau wakati wa kikao kazi cha Maafisa Mawasiliano leo Mkoani Mtwara. 
Maafisa Mawasiliano wakisikiliza Hotuba iliyowahi kutolewa na Martin Luther King ikiwa ni sehemu ya Mafunzo kutoka kwa Mtaalamu wa Mambo ya Mawasiliano toka Uingereza Bw. Simon McDowall wakati wa kikao kazi cha Maafisa Mawasiliano leo Mkoani Mtwara. 
Maafisa Mawasiliano wakisikiliza Hotuba iliyowahi kutolewa na Martin Luther King ikiwa ni sehemu ya Mafunzo kutoka kwa Mtaalamu wa Mambo ya Mawasiliano toka Uingereza Bw. Simon McDowall wakati wa kikao kazi cha Maafisa Mawasiliano leo Mkoani Mtwara. (Picha zote na Hassan Silayo)

No comments:

Post a Comment