TANGAZO


Monday, January 5, 2015

Kombe la Mapinduzi AZAM yaichapa KMKM bao 1-0

Kikosi cha timu ya KmKm kinachoshiriki Michuano ya Kombe la Mapinduzi yanayofanyika katika Uwanja wa Amaan. KMKM imefungwa bao moja na timu ya Azam. 
Kikosi cha timu ya AZAM FC, kinachoshiriki Kombe la Mapinduzi Zanzibar kilichoifunga timu ya KMKM bao 1-0 katika michuano inayofanyika Uwanja wa Amaan mjini Zanzibar. 
Wachezaji wa timu ya KMKM na AZAM, wakiwania mpira katika mchezo wa kuwania Kombe la Mapinduzi, uliofanyika katika Uwanja wa Amaan.Timu ya AZAM imeshinda 1-0.
Mchezaji wa timu ya AZAM akiruka kwanja la beki wa timu ya KMKM katika mchezo wa kuwania Kombe la Mapinduzi uliofanyika uwanja wa Amaan.

Kipa wa timu ya KMKM Mundhiry Khamis, akiwa hewani akidaka mpira, moja ya hatari golini kwake, wakati wa mchezo wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika uwanja wa Amaan. Timu ya AZAM, imeshinda 1-0. 

Mchezaji wa timu ya AZAM akimpita beki wa timu ya KMKM katika mchezo wa kuwania Kombe la Mapinduzi kutimia miaka 51, mchezo uliofanyika katika Uwanja wa Amaan, mjini Zanzibar.
Jopo la Ufundi la timu ya AZAM, likifuatilia mchezo wao na timu ya KMKM uliofanyika katika Uwanja wa Amaan. 
Mchezaji wa timu ya AZAM FC, akimpita beki wa timu ya KMKM katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika Uwanja wa Amaan. Timu ya AZAM imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0.
Jopo la Ufundi la timu ya KMKM likiongozwa na Kocha Mkuu Shabani Ramadhani na Msaidi wake Seif Bausi wakifuatilia mchezo huo.

Wachezaji wa timu ya AZAM na KMKM wakiwania mpira katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika uwanja wa Amaan.
Kipa wa timu ya KMKM, Mundhiry Khamis, akiwa hewani akidaka mpira, moja ya hatari iliyoelekezwa golini kwake, wakati wa mchezo wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar.
Mchezaji wa timu ya AZAM FC, Salum Abubakary, akimpita beki wa timu wa KMKM, Ibrahim Khamis.
Mshambuliaji wa timu ya AZAM, Brian Erick, akipisha kwanja la beki wa timu ya KMKM, Mwadini Haji, wakati wa mchezo wa Kombe la Mapinduzi, uliofanyika Uwanja wa Amaan.
Mchezaji wa timu ya AZAM FC, Brian Erick, akimpita  mchezaji wa timu ya KMKM, Khamis Ali, wakati wa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika Uwanja wa Amaan mjini Zanzibar. AZAM FC imeshinda 1-0. (Picha zote kwa hisani ya ZanziNews Blog)

No comments:

Post a Comment