Klabu ya Manchester City kwa sasa katika mazungumzo na Uongozi wa Timu ya Swansea City kwa lengo la kumsajili mchezaji Wilfred Bony.
Man city ina mpango wa ktenga zaidi ya £ 30m kwa Ivory Coast mwenye umri wa mika 26, kutoka Swansea ,na meneja Garry Monk amesema itachukua atahakikisha inampata Wilfred Bony hapo Januari katika dirisha la usajil.
Bony alijiunga Swansea kwa rekodi klabu £ 12m kutoka Vitesse Arnhem mwaka 2013 na kwa sasa yupo katika maandalizi ya Kombe la Mataifa ya Afrka ( AFCON) na Timu yake ya Taifa ya Ivory Coast.
No comments:
Post a Comment