Mratibu wa Uhurumarathon Innocent Melleck
akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam leo, wakati akielezea juu ya
udhamini wa Kampuni ya startimes kudhamini kwa kutoa matangazo na vifaa vyenye zaidi
ya shilingi milioni nne na laki tano. Kushoto kwake ni Meneja Huduma kwa Wateja
wa Startimes, Jackson Ngowi. (Picha zote na Mpigapicha wetu)
Mratibu wa Uhurumarathon Innocent Melleck
akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam leo, kuhusu udhamini wa Kampuni ya Startimes kutoa matangazo na vifaa vyenye zaidi
ya shilingi milioni nne na laki tano. Kushoto kwake ni Meneja Huduma kwa Wateja
wa Startimes, Jackson Ngowi.
Mratibu wa Uhurumarathon Innocent Melleck
akizungumza na waandishi wa habari katika hafla ya kutangaza udhamini wa Kampuni ya Startimes jijini leo.
Mratibu wa Uhurumarathon Innocent Melleck
akizungumza na waandishi wa habari katika hafla hiyo, jijini Dar Es Salaam leo. Kushoto kwake ni Meneja Huduma kwa Wateja
wa Startimes, Jackson Ngowi.
No comments:
Post a Comment