TANGAZO


Friday, December 5, 2014

Simba, Epress ya Uganda zatoka suluhu

Mashabiki wa Simba wakifuatilia mchezo kati ya timu yao hiyo na Express ya Uganda, wakati zilipopambana katika mchezo wa kirafiki wa Kimataifa, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Timu hizo zilitoka suluhu. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Bakaki Shafiq wa Express ya Uganda, akiudhibiti mpira huku akifuatwa na Ramadhan Singano 'Messi' wa Simba katika mchezo huo.
Ubao wa matangazo ukionesha Simba 0 na Express 0.
Golikipa wa timu ya Express ya Uganda Mutumba Ivan, akipatiwa matibabu baada ya kugongana na  Elius Maguri wa Simba wakati wa mchezo huo.
Kasozi Bob wa Express, akikimbia na mpira huku akifuatwa na Elius Maguri wa Simba.
Bakaki Shafiki wa Express ya Uganda akiudhibiti mpira huku Ramadhan Singano 'Messi' wa Simba akiwa amedondoka.
Shaaban Kisiga wa Simba akiupiga mpira kichwa.
Golikipa wa timu ya Express ya Uganda Mutumba Ivan, akiuondoa mpira kichwani kwa Elius Maguri wa Simba wakati wa mchezo wa kirafiki wa Kimataifa, uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Timu hizo zilitoka suluhu.
Hamis Tambwe wa Simba akimdhibiti Kasozi Bob wa Express.
Bakaki Shafiq wa Express ya Uganada akiwania mpira na Issa Rashid 'Baba Ubaya' wa Simba.
Issa Rashid 'Baba Ubaya' wa Simba, akiudhibiti mpira huku akifuatwa na Lwesibawa Godfrey wa Express.
Ramadhan Singano wa Simba, akijaribu kupasua katikati ya wachezaji wa Espress.
Hamis Tambwe akiudhibiti mpira huku akizuiwa na Lwesibawa Godfrey wa Express.
Ramadhan Singano wa Simba na Bakaki Shafiq wa Epress wakiwania mpira.
Bakaki Shafiq wa Epress akikimbia na mpira huku akifuatwa na Ramadhan Singano wa Simba.
Bakaki Shafiq wa Express akiondoka na mpira, huku akifuatwa na Shaaban Kisiga wa Simba.
Kasozi Bob wa Express akiudhibiti mpira, huku akifuatwa na Shaaban Kisiga wa Simba.

No comments:

Post a Comment