TANGAZO

Sunday, December 7, 2014

Mbunge Zungu alipozindua Kampeni za CCM za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Jimbo la Ilala Dar es Salaam

Kundi la Msanii mahiri wa muziki wa Tarab nchini, Khadija Kopa (wa pili kushoto), likitumbuiza katika uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa za Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jimbo la Ilala, zilizozinduliwa na Mbunge wa jimbo hilo, Mussa Zungu hivi karibuni. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Kundi hilo la Msanii Khadija Kopa likitumbuiza katika uzinduzi wa kampeni hizo.
Wasanii wenye ulemavu wakitumbuiza wakati wa uzinduzi wa kampeni hizo.
Baadhi ya wanachama na wakereketwa wa CCM, wakiwa katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni hizo.
Mwanachama wa CCM, Haji Manara akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni hizo.
Wanachama wa CCM wakizirudi ngoma za kundi la Kopa wakati wa uzinduzi huo.
Wazee wa Chama hicho wakizungumza kabla ya kumvalisha na kumkabidhi mkuki na ngao kutokana na ushujaa wake.
Baadhi ya wananchi, wanachama na wakereketwa wa CCM, wakiwa katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni hizo.
Abdallah Tamba wa CCM, Abdallah Tamba, akimvisha mgolole Mbunge Mussa Zungu, akiwa kama shujaa wa jimbo hilo. Kulia ni mzee mwenzake, Hussein Batenga.
Mbunge wa Jimbo la Ilala, Mussa Zungu akikabidhiwa mkuki na ngao na wazee wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa jimbo hilo, Abdallah Tamba (kushoto) na Hussein Batenga (kulia), kama shujaa wa jimbo, wakati wa uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Dar es Salaam hivi karibuni. 
Mbunge wa Jimbo la Ilala, Mussa Zungu akiwa na wazee wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa jimbo hilo, baada ya kumkabidhi mkuki na ngao, kama shujaa wa jimbo, wakati wa uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Dar es Salaam hivi karibuni. 
Mbunge wa Jimbo la Ilala, Mussa Zungu akihutubia mkutano wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa jimbo hilo, wakati akizindua kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Dar es Salaam hivi karibuni.
Mbunge Mussa Zungu akihutubia, wakati akizindua kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Jimbo la Ilala, Dar es Salaam hivi karibuni.
Baadhi ya wananchi, wanachama na wakereketwa wa CCM, wakiwa katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni hizo.
Mbunge Mussa Zungu akihutubia, wakati akizindua kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Jimbo la Ilala, Dar es Salaam hivi karibuni.
Baadhi ya wananchi na wanachama wa CCM, wakiwa katika mkutano huo.
Baadhi ya wananchi, wanachama na wakereketwa wa CCM, wakiwa katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni hizo.
Baadhi ya wagombea wakiwa katika mkutano huo.
Baadhi ya wananchi na wanachama wa CCM, wakiwa katika mkutano huo.
Baadhi ya wagombea wa Serikali za Mitaa wa Ilala, wakiwa katika mkutano huo, wakati wa uzinduzi wa kampeni hizo.
Baadhi ya wanachama na wakereketwa wa CCM, wakiwa katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni hizo.
Baadhi ya wananchi na wanachama wa CCM, wakiwa katika mkutano huo.
Mmoja wa wagombe wa Serikali za Mitaa ya Ilala Zainab Ottii akijinadi kwa wananchi na wanachama wa CCM jimboni humo.
Mgombea wa nafasi ya Uwenyekiti wa Serikali ya Mtaa, Fatu Mwasa, akijinadi wakati wa mkutano huo.
Mbunge Zungu akimnadi Futu Mwasa kwa wananchi na wanachama wa chama hicho.

No comments:

Post a Comment