Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, Mkuu wa mkoa wa Njombe, Dkt. Rehema Nchimbi, kwa pamoja
wakisimama kupokea maandamano wakati wa sherehe za Maadhimisho ya siku
ya Ukimwi Duniani iliyofanyika leo Desemba 1, 2014 Kitaifa kwenye Uwanja
wa Sabasaba Mkoani Njombe. (Picha zote na OMR)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akihutubia katika sherehe za maadhimisho ya Siku ya Ukimwi
Duniani zilizofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Sabasaba Mkoani Njombe
leo, Desemba 2014.

Bilal, akiagana na baadhi ya viongozi wakati akiondoka katika uwanja wa
Sabasaba baada ya kuhutubia katika sherehe za maadhimisho ya Siku ya
Ukimwi Duniani zilizofanyika Kitaifa kwenye Uwanja wa huo Mkoani Njombe.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akipunga mkono kuwaaga wananchi wakati akiondoka uwanjani hapo
baada ya kuhutubia katika Sherehe za maadhimisho ya Siku ya Ukimwi
Duniani, zilizofanyika Kitaifa Mkoani Njombe.
Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Dkt. Rehema Nchimbi, akijumuika na wasanii wa
Kikundi cha Sanaa cha Kanisa la KKKT, wakati wakitoa burudani yenye
ujumbe kuhusu maadhimisho hayo ya siku ya Ukimwi Duniani.
Baadhi ya wandamani wakipita mbele ya jukwaa kuu na mabango yenye
ujumbe mbalimbali kuhusu siku ya Ukimwi Duniani wakati wa sherehe hizo
zilizofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Sabasaba Mkoani Njombe leo
Desemba 1, 2014.

No comments:
Post a Comment