TANGAZO

Thursday, December 11, 2014

Kilele cha Maadhimisho ya Siku 16 za Kupinga ukatili wa Kijinsia

Ofisa Maendeleo ya Jamii Mkoa wa Dodoma Amina Mfafaki akifafanua jambo wakati alipokuwa akiongea wakati wa kufunga maadhimisho ya siku 16 za maadhimisho ya kupinga ukatili kwa wanawake na watoto katika ukumbi wa Bwalo la polisi Dodoma.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma David Misime akiongea jambo wakati wa kilele cha maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili kwa wanawake na watoto yaliyofanyika Bwalo la polisi Dodoma.
Kamanda wa polisi wilaya ya Dodoma mjini Malingumu akizungumza akizungumza katika maadhimisho hayo.
Staff Sajent Mwanajuma Mtuli wa polisi Dodoma akisisitiza jambo kwenye ufungaji huo wa maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili kwa wanawake na watoto.

Baadhi ya Askari wakifuatilia jambo kwenye kilele hicho.

Baadhi ya askari Polisi na raia wakiwa katika maadhimisho hayo.
Akinamama wajawazito wa wodi ya Chikande walioalikwa kwenye kilele cha maadhimisho ya Siku 16 za kupinga ukeketaji kwa wanawake na watoto uliofanyika katika Bwalo la Polisi Dodoma. (Picha zote na John Banda)

No comments:

Post a Comment