Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum (wa pili kulia),akiwasili viwanja vya Mkumbusho ya Taifa mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa siku mbili (Disemba 20-21) wa wanachama wa Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha Hazina, mkutano huo unaongozwa na kauli mbiu isemayo “Viwanja Rasmi Suluhisho la Makazi Bora”. Wa kwanza kulia ni Mwenyekiti wa Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha Hazina Eligius Mwankenja.
Waziri wa Fedha Saada
Mkuya Salum akitoa hotuba ya kufungua Mkutano
Mkuu wa mwaka wa siku mbili mwishoni mwa wiki (Disemba 20-21) wa wanachama wa
Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha Hazina, mkutano huo unaongozwa na kauli mbiu isemayo “Viwanja
Rasmi Suluhisho la Makazi Bora”.

Mwenyekiti wa Chama cha
Ushirika wa Akiba na Mikopo cha Hazina Eligius Mwankenja akitoa neno wakati
akimkaribisha Mgeni Rasmi Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum kufungua mkutano
mkuu wa mwaka wa chama hicho uliofanyika viwanja vya Mkumbusho ya Taifa mwishoni mwa wiki (Disemba 20-21) jijini Dar
es Salaam.

Baadhi ya wajumbe wa
mkutano mkuu wa mwaka wa Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha Hazina
wakifuatilia hotuba ya Mgeni Rasmi Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum wakati wa
kufungua mkutano mkuu wa mwaka wa chama hicho uliofanyika viwanja vya Mkumbusho ya
Taifa mwishoni mwa wiki (Disemba 20-21) jijini Dar es Salaam.

Mgeni Rasmi Waziri wa
Fedha Saada Mkuya Salum akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Bodi ya Chama
cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha Hazina mara baada ya kufungua mkutano mkuu wa
mwaka wa chama hicho uliofanyika viwanja vya Mkumbusho ya Taifa mwishoni mwa wiki
(Disemba 20-21) jijini Dar es Salaam.
Mgeni Rasmi Waziri wa
Fedha Saada Mkuya Salum akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanachama wa Chama
cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha Hazina waliokabidhiwa hati zao za viwanja mara
baada ya kufungua mkutano mkuu wa mwaka wa chama hicho uliofaviwanja vya
Mkumbusho ya Taifa mwishoni mwa wiki (Disemba 20-21) jijini Dar es Salaam. Mkutano
huo unaongozwa na kauli mbiu isemayo “Viwanja Rasmi Suluhisho la Makazi Bora”. (Picha
zote na Eleuteri Mangi)
No comments:
Post a Comment