TANGAZO


Tuesday, December 2, 2014

Afya ya Pele yaimarika

Pele alikua mahututi baada ya kupata matatizo ya Figo
Hali ya afya ya gwiji wa Soka duniani, Pele imemarika baada ya kutoka kwenye hali ya mahututi.
Pele aliyekua mahututi kwa matatizo ya figo anaendelea vizuri na anauwezo wa kutembea mwenyewe kwa sasa.
"Mgonjwa anaendelea vizuri anaweza kutembea mwenyewe kwenye chumba chake alieleza Albert Einster wa klinik anayotibiwa Pele.Gwiji huyo mwenye miaka 74 ataendelea kuwa chini ya uangalizi wa Madaktari.

No comments:

Post a Comment