TANGAZO


Tuesday, November 18, 2014

Shirika la Posta Tanzania (TPC), Zantel zakabidhiana mkataba ya maelewano ya kibiashara kati yao

Baadhi ya Maofisa wa Kampuni ya Simu ya Zantel, wakiwa katika hafla ya kukabidhiana mkataba wa maelewano ya kibiashara kati ya Shirika la Posta Tanzania (TPC) na Kampuni yao hiyo, Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam leo. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Baadhi ya Maofisa wa Kampuni ya Simu ya Zantel, wakiwa katika hafla ya kukabidhiana mkataba wa maelewano ya kibiashara kati ya Shirika la Posta Tanzania (TPC) na Kampuni yao hiyo, Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam leo.
Baadhi ya Maofisa wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakiwa katika hafla ya kukabidhiana mkataba wa maelewano ya kibiashara kati ya shirika hilo na Kampuni ya Simu ya Zantel, Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam leo.
Baadhi ya Maofisa wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakiwa katika hafla ya kukabidhiana mkataba wa maelewano ya kibiashara kati ya shirika hilo na Kampuni ya Simu ya Zantel Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam leo.
Waandishi wa habari wakiwa katika hafla hiyo.
 Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa katika hafla hiyo.
 Postamaster Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Deos Mndeme (kulia) na Ofisa Mkuu wa Mambo ya Ufundi wa Kampuni ya Simu ya Zantel, Moncef Mettiji, wakiwa tayari kwa ajili ya kuzungumza wakati wa hafla ya kukabidhiana mikataba ya maelewano ya kibiashara kwa Taasisi zao, Ukumbi wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam leo. 
Ofisa Uhusiano wa TPC, Wilifred Miigo, akiwakaribisha wakuu wa Taasisi hizo pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria katika hafla ya kukabidhiana mikataba ya maelewano ya kibiashara kati ya Shirika la Posta Tanzania (TPC) na Kampuni ya Simu ya Zantel, ukumbi wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam leo.
Maofisa wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakiwa katika hafla hiyo.
 Maofisa wa Kampuni ya Simu ya Zantel, wakiwa katika hafla hiyo.
  Ofisa Mkuu wa Mambo ya Ufundi wa Kampuni ya Simu ya Zantel, Moncef Mettiji (kushoto), akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhiana mkataba wa maelewano ya kibiashara kati ya Taasisi zao, Dar es Salaam leo. Kulia ni Postamaster Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Deos Mndeme.
 Ofisa Mkuu wa Mambo ya Ufundi wa Kampuni ya Simu ya Zantel, Moncef Mettiji (kushoto), akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhiana mkataba wa maelewano ya kibiashara kati ya Taasisi zao, Dar es Salaam leo. Kulia ni Postamaster Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Deos Mndeme.
 Ofisa Mkuu wa Mambo ya Ufundi wa Kampuni ya Simu ya Zantel, Moncef Mettiji (wapili kulia), akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhiana mkataba wa maelewano ya kibiashara kati ya Taasisi zao. Kulia ni Postamaster Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Deos Mndeme.
Ofisa Mkuu wa Mambo ya Ufundi wa Kampuni ya Simu ya Zantel, Moncef Mettiji (wapili kulia), akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhiana mkataba wa maelewano ya kibiashara kati ya Taasisi zao. Kulia ni Postamaster Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Deos Mndeme.
Postamaster Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Deos Mndeme (kulia), akijiweka tayari kwa ajili ya kuzungumza wakati wa hafla ya kukabidhiana mkataba wa maelewano ya kibiashara kati ya Taasisi zao. Kushoto ni Ofisa Mkuu wa Mambo ya Ufundi wa Kampuni ya Simu ya Zantel, Moncef Mettiji.
Postamaster Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Deos Mndeme (kulia), akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhiana mkataba wa maelewano ya kibiashara kati ya Taasisi zao. Kushoto ni Ofisa Mkuu wa Mambo ya Ufundi wa Kampuni ya Simu ya Zantel, Moncef Mettiji.
Postamaster Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Deos Mndeme (kulia), akizungumza wakati wa hafla hiyo. Wapili kulia ni Ofisa Mkuu wa Mambo ya Ufundi wa Kampuni ya Simu ya Zantel, Moncef Mettiji.
Postamaster Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Deos Mndeme (kulia), akizungumza wakati wa hafla hiyo. Wapili kulia ni Ofisa Mkuu wa Mambo ya Ufundi wa Kampuni ya Simu ya Zantel, Moncef Mettiji.
Postamaster Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Deos Mndeme (kulia), akizungumza wakati wa hafla hiyo. Kushoto ni Ofisa Mkuu wa Mambo ya Ufundi wa Kampuni ya Simu ya Zantel, Moncef Mettiji.
Postamaster Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Deos Mndeme (kulia) na Ofisa Mkuu wa Mambo ya Ufundi wa Kampuni ya Simu ya Zantel, Moncef Mettiji (kushoto), akimwakilisha Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo, wakibadilishana mkataba wa maelewano katika ushirikiano wa kibiashara kwa mambo ya mawasiliano, ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam leo. Katikati ni Meneja Mkuu, Uhusiano na Serikali wa Zanztel, Charles Jutta.
Postamaster Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Deos Mndeme (kulia) na Ofisa Mkuu wa Mambo ya Ufundi wa Kampuni ya Simu ya Zantel, Moncef Mettiji (kushoto), mwakilisha Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo, wakiupitia mkataba wa maelewano katika ushirikiano wa kibiashara kwa mambo ya mawasiliano, mara baada ya kukabidhiana, katika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam leo. Katikati ni Meneja Mkuu, Uhusiano na Serikali wa Zanztel, Charles Jutta.

No comments:

Post a Comment