TANGAZO

Thursday, November 13, 2014

Rais Kikwete atoka Hospitalini baada ya kupata nafuu

Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na Daktari Bingwa Edward Schaeffer kutoka Hospitali ya Johns Hopkins alipokuwa amelazwa baada ya kufanyiwa upasuaji mwishoni mwa wiki iliyopita.Kulia nia Mke wa Rais Mama Salma Kikwete.

Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza jambo na Daktari Edward Schaeffer muda mfupi baada ya kuruhusiwa kutoka katika hospitali ya Johns Hopkins huko Baltimore, Maryland nchini Marekani, ambapo alifanyiwa upasuaji mwishoni mwa wiki iliyopita.
Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Daktari Edward Schaeffer muda mfupi baada ya kuruhusiwa kutoka katika hospitali ya Johns Hopkins huko Baltimore, Maryland nchini Marekani ambapo alifanyiwa upasuaji mwishoni mwa wiki iliyopita. (Picha zote na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment