TANGAZO


Saturday, November 15, 2014

Mahafali ya 26 ya Shule ya Sekondari ya Al Haramain yafana

Mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza wa Shule ya Sokondari ya Al Haramain, Mahiri Amjad akisoma Qur'an Takatifu, wakati wa kufunguliwa rasmi Mahafali ya 26 ya Kidato cha Nne shuleni hapo, Dar es Salaam leo. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Wanafunzi wa Kidato cha Nne, wanaohitimu wakiwa kwenye mahafali yao ya 26, shuleni hapo leo.
Wazazi na wageni mbalimbali waalikwa, waliohudhuria mahafali hayo, wakifuatilia matukio yaliyokuwa yakifanyika kwenye viwanja vya shule hiyo leo.
Mwanafunzi wa Kidato cha tatu wa shule hiyo ya Al Haramain, akitoa tafsiri ya aya zilizosomwa katika ufunguzi wa mahafali hayo.
Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Al Haramain, Mwalimu Nuhu Jabir, akizungumza wakati alipokuwa akitoa utambulisho kwa mgeni maalum Sheikh Mkuu, Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum (kulia) mbali na waalikwa.
Wanafunzi Aisha Kamuna (kushoto) na Wiyamu, wakisoma utenzi katika mahafali hayo.
Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Al Haramain, Mwalimu Nuhu Jabir, akisoma hotuba yake fupi ya kuhusu shule hiyo pamoja na maendeleo, malengo na matarajio ya shule kwa sasa na wakati ujao. Kushoto ni Mwalim Rashid Kassim.
Wanafunzi wa Kidato cha Tatu wakitumbuiza kwa ngoma ya dufu wakati wa mahafali hayo.
Mgeni rasmi Sheikh Mkuu, Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Alhad Mussa Salum, akitoa hotuba yake wakati wa mahafali hayo. Kushoto ni Mkuu wa Shule hiyo, Mwalimu Nuhu Jabir na kulia ni Mkuu wa Chuo cha Ualimu cha Al Haramain, Ramadhan Kingalu.
 Mgeni rasmi, Sheikh Mkuu, Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum, akimkabidhi cheti cha mwanafunzi anayeongoza kwa Nidhamu, Mhitimu Hussein Abdul.
Mgeni rasmi, Sheikh Mkuu, Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum, akimkabidhi cheti cha mwanafunzi anayeongoza katika masuala ya Uongozi, Mhitimu Nuru Anudo.
Mgeni rasmi, Sheikh Mkuu, Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum, akimkabidhi cheti cha mwanafunzi anayeongoza katika somo la Civics, Mhitimu Mumtaz Shariff.
Mgeni rasmi, Sheikh Mkuu, Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum, akimkabidhi cheti cha mwanafunzi anayeongoza katika masomo ya History na Kiswahili, Mhitimu Chiku Mohamed.
Mgeni rasmi, Sheikh Mkuu, Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum, akimkabidhi cheti cha mwanafunzi anayeongoza katika masomo ya English, Commerce na Book Keeping, Mhitimu Sannam Yussuf.
Mgeni rasmi, Sheikh Mkuu, Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum, akimkabidhi cheti cha mwanafunzi anayeongoza katika somo la Geography, Mhitimu Nazia Ismail.
Mgeni rasmi, Sheikh Mkuu, Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum, akimkabidhi cheti cha mwanafunzi anayeongoza katika masomo ya Biology na Physics, Mhitimu Bahati Migezo.
Mgeni rasmi, Sheikh Mkuu, Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum, akimkabidhi cheti cha mwanafunzi anayeongoza katika somo la Basic Mathematics Mhitimu Hamis Mussa.
Mgeni rasmi, Sheikh Mkuu, Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum, akimkabidhi cheti cha kuhitimu kidato cha nne, Aisha Suleiman, wakati wa mahafali hayo.
Mgeni rasmi, Sheikh Mkuu, Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum, akimkabidhi cheti cha kuhitimu kidato cha nne, Amina Buko.
 Mgeni rasmi, Sheikh Mkuu, Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum, akimkabidhi cheti cha kuhitimu kidato cha nne, Aziza Hamis.
Mgeni rasmi, Sheikh Mkuu, Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum, akimkabidhi cheti cha kuhitimu kidato cha nne, Farida Ally.
Mgeni rasmi, Sheikh Mkuu, Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum, akimkabidhi cheti cha kuhitimu kidato cha nne, Fatuma Mashaka.
Mgeni rasmi, Sheikh Mkuu, Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum, akimkabidhi cheti cha kuhitimu kidato cha nne, Abdul Nassir.
Mgeni rasmi, Sheikh Mkuu, Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum, akimkabidhi cheti cha kuhitimu kidato cha nne, Ally Idd.
Mgeni rasmi, Sheikh Mkuu, Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum, akimkabidhi cheti cha kuhitimu kidato cha nne, Ally Matuge.
Mgeni rasmi, Sheikh Mkuu, Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum, akimkabidhi cheti cha kuhitimu kidato cha nne, Amour Said.
Mgeni rasmi, Sheikh Mkuu, Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum, akimkabidhi cheti cha kuhitimu kidato cha nne, Aziz Rajab.
Meza Kuu wakiwa wamenyanyuka baada ya kumaliza kutoa vyeti na zawadi mbalimbali katika mahafali hayo.
Wanafunzi wakipiga ngoma ya dufu, wakati wa mahafali hayo.
Wanafunzi wakipiga ngoma ya dufu, wakati wa mahafali hayo.
Meza Kuu kutoka kushoto, Mwalimu Raishid Kassim, Mkuu wa Shule, Nuhu Jabir, Mgeni rasmi, Sheikh Mkuu, Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum, Kaimu Mkuu wa Chuo cha Ualimu cha Al Haramain, Ramadhan Kingalu, Mwalimu Zailai Mkoyogore na Mwalimu Shaweji Omar, wakiwa katika mahafali hayo.
Meza Kuu kutoka kushoto, Mzee Nassor, Mwalimu Suleiman Nassor, Mwalimu Raishid Kassim, Mkuu wa Shule, Nuhu Jabir, Kaimu Mkuu wa Chuo cha Ualimu cha Al Haramain, Ramadhan Kingalu, Mwalimu Zailai Mkoyogore na Mwalimu Shaweji Omar, wakiomba Dua wakati wa mwisho wa mahafali hayo.
Wahitimu wa Kike wa Kidato cha Nne, wakipata picha ya kumbukumbu na Mgeni Rasmi, Sheikh Mkuu, Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Alhad Mussa Salum (wa nne kulia), wakati wa mahafali hayo.
Wahitimu wa Kiume wa Kidato cha Nne, wakipata picha ya kumbukumbu na Mgeni Rasmi, Sheikh Mkuu, Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Alhad Mussa Salum (wa nne kulia), wakati wa mahafali hayo.
Mtoto wa Mkurugenzi Mwendeshaji wa Blogu hii ya Bayana, Kassim Mbarouk, Ally, anayesoma kidato cha tatu shuleni hapo, akisalimiana na mgeni rasmi, Mgeni rasmi, Sheikh Mkuu, Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum.

1 comment:

  1. It was the best graduation but you made a mistake by not keeping male parents pictures.... so if u have post it..

    ReplyDelete