Mratibu wa Mradi wa
Health Promotion and System Strengthening (HPSS) ambao pia unajulikana kama ‘Tuimarishe
Afya Project’ unaofadhiliwa na serikali ya Uswisi, HPSS, Bi. Fiona
Chilunda Akikabidhi,
Compyuta kwa, Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mkoa wa
Dodoma, Dk. Ezekiel Mpuya ili kuimarisha upatikanaji wa madawa
muhimu na vifaa tiba kwa Mkoa wa Dodoma, kupitia
kwa mzabuni mmoja kwa Mkoa wa Dodoma.

Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mkoa wa
Dodoma, Dk. Ezekiel Mpuya akipokea shehena ya pili ya dawa na vifaa tiba kwa Mkoa wa Dodoma toka kwa Meneja Masoko wa Bahari
Limited, Dk. Tecla Kambanyuma, katika urataribu mpya wa usambazaji dawa
kupitia kwa mzabuni mmoja. Wanaoshuhudia ni Mratibu wa HPSS,
Fiona Chilunda, wanaoratibu mradi huo. Mradi wa Health Promotion and and System Strengthening (HPSS) ambao pia unajulikana kama ‘Tuimarishe Afya Project unaofadhiliwa na Serikali ya Uswisili kuimarisha upatikanaji wa dawa
muhimu na vifaa tiba kwa Mkoa wa Dodoma, kupitia
kwa mzabuni mmoja kwa Mkoa wa Dodoma. Hafla hiyo ilifanyika hivi karibuni mjini Dodoma.
Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mkoa wa
Dodoma, Dk. Ezekiel Mpuya akipokea shehena ya pili ya dawa na vifaa tiba kwa Mkoa wa Dodoma toka kwa Meneja Masoko wa Bahari
Limited, Dk. Tecla Kambanyuma, katika urataribu mpya wa usambazaji dawa
kupitia kwa mzabuni mmoja. Wanaoshuhudia ni Mratibu wa HPSS,
Fiona Chilunda, wanaoratibu mradi huo.

Dodoma, Dk. Ezekiel Mpuya akizungumza baada ya kupokea shehena hiyo.
Mratibu wa, Mradi wa
Health Promotion and System Strengthening (HPSS), ambao pia unajulikana kama ‘Tuimarishe
Afya Project’ unaofadhiliwa na serikali ya Uswisi, HPSS, Bi. Fiona
Chilunda, akizungumza baada ya kukabidhi shehena hiyo.
MRADI wa Health Promotion and System Strengthening
(HPSS) ambao pia unajulikana kama ‘Tuimarishe Afya Project’
unaofadhiliwa na Serikali ya Uswisi, umeanza kuleleta neema ya upatikanaji wa dawa muhimu na vifaa tiba kwa Mkoa wa Dodoma, baada ya madawa hayo
sasa, kuanza kupatikana kwa wingi na kwa wakati, baada ya kuanza kwa
utekelezaji wa madawa hayo kupitia kwa mzabuni mmoja kwa Mkoa wa Dodoma.
Akizungumza wakati wa makabidhiano ya vifaa vua ofisi ya
kupokea madawa muhimu na vifaa tiba kutoka kwa Mzabuni mmoja, Mratibu wa HPSS,
Tuimarishe Afya, Bi. Fiona Chilunda, amesema,
ili kuhakikisha zoezi la usambazaji wa madawa muhimu linakwenda vizuri,
Mradi wa HPSS, unaendelea kuijengea uwezo, bohari ya madawa ya Hospitali Kuu ya
Mkoa wa Dodoma, kwa kuipatia vitendea kazi vya kisasa zikiwemo thamani za
ofisi, na Comptures za kisasa vilivyogharimu zaidi ya shingi milioni 15 za
Kitanzania.
Akizumgumzia mapokezi ya vifaa hivyo, ambavyo vimekwenda
sambamba na mapokezi ya shehena ya pili ya madawa kupitia kwa mzabuni mmoja,
Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mkoa wa Dodoma, Dk. Ezekiel Mpuya ameishukuru HPSS,
kulimaliza tatizo sugu la upatikanaji wa madawa kwa kugharimia mchakato wa
upatikanaji wa mzabuni mmoja
kuwasambazia madawa na kuwajengea uwezo wa usambazaji wa madawa muhimu
na vifaa tiba, ambapo sasa hospitali yake, wanauhakika wa kuwa na upatikanaji
wa madawa wakati wote.
Naye Meneja Masoko wa
Duka la Madawa la Bahari Pharmacy, ambaye ndie aliyeshinda zabuni ya usambazaji
wa Madawa kwa Mkoa wa Dodoma, Dk. Tecla Kambanyuma, amewahakikishia kufikisha
madawa kwa wakati na sio kusubiri hadi madawa yaishe ndipo walete mengine, bali
watakuwa wakileta madawa ya kutosha na kuyahifadhi hapo hapo Dodoma.
Mradi wa HPSS ulizinduliwa mwaka 2011 ukilenga
kuusaidia mkoa wa Dodoma kwa kipindi cha miaka Kumi katika sekta ya Bima ya
Afya, uboreshaji wa afya ya jamii, usimamiaji wa dawa na usimamiaji wa
matengenezo ya vifaa vya afya, mradi huu umefadhiliwa na Ubalozi wa Uswisi
nchini Tanzania na unatekelezwa na Shirika la The Swiss Tropical and Public
Health Institute (Swiss TPH) likishirikiana na Shirika la Ujerumani la The
Micro Insurance Academy (MIA) pamoja na Shirika la The Ifakara Health Institute
la Tanzania.
No comments:
Post a Comment