TANGAZO


Sunday, October 5, 2014

Yanga waifunga JKT Ruvu mabao 2-1 Ligi Kuu ya Vodacom Uwanja wa Taifa Dar es Salaam

Wachezaji wa Yanga wakishangilia baada kuifunga JKT RUVU mabao 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom leo, kwenye Uwanja wa Tgaifa, Dar es Salaam. (Picha zote kwa hisani ya Salehe Jembe)
Jaja wa Yanga akipiga mpira.


Kikosi cha timu ya Yanga kilicho ihenyesha JKT Ruvu leo, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment