TANGAZO


Friday, October 24, 2014

Yanga African yashindwa kuwafurahisha mashabiki wake Dodoma

 Kikosi cha Timu ya CDA ya Dodoma.
Wachezaji wa Yanga Raia wa Brazil Coutinho na Mwenzake Jaja wakifuatilia mchezo wa kilafiki kati ya timu yao na CDA ya Dodoma katika uwanja wa jamhuri ambapo timu hizo zilitoshana nguvu ya bila kufungana.
Mwamuzi wa Mchezo akitoa maelekezo kwa makaptein wa timu hizo kabla ya mchezo kuanza.
Mgeni Rasmi kwenye mpambano huo wa kirafiki kati ya Yanga na CDA iliyowakumbusha wengi enzi za miaka ya tisini Emanuel Mwiliko akitoa mawadha kabla ya mchezo kuanza.
Mwanadada wa Kizungu Lianne Veen Raia wa Uholanzi akionyesha umahili wake wa kupiga Danadana huku akiwa kakaa katika uwanja wa Jamhuri mbele ya mashabiki wa soka walifika kushuhudia mpambano wa kirafika kati ya Yanga na CDA
 Meya wa Manispaa ya Dodoma akisalimiana na wachezaji kabla ya mchezo huo.
 Meya wa Manispaa ya Dodoma akisalimiana na wachezaji kabla ya mchezo huo
Hawa Omary [62] mkazi wa Barabara ya Sita Dodoma akikabidhiwa kadi ya uanachama wa Yanga na Nahodha wa Timu hiyo Nadir Haroub Kannavaro Huku Mohamed Binda, Jaja na Cotinyo wakishuhudia
Kikosi cha timu ya Yanga, kilichopambana na CDA ya Dodoma.

No comments:

Post a Comment