*Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue ahudhuria mkutano huo
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali Dk. Servacius Likwelile akifurahia
jambo na Mkuu wa mambo ya uchumi wa Mfuko wa changamoto za milenia. Wakiwa
pamoja na Kamishna wa Fedha za Nje Bw. Saidi Ngosha Magonya.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dk. Servacius Likwelile
akifurahia jambo na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi
Ombeni Sefue. Wakishuhudiwa na Bw. Abbas Abeid Missana Mwambata wa
uhamiaji Ubalozi wa Marekani wakwanza kutoka kulia na Bw. Laston Msongole
ambaye ni Mtendaji Mkuu wa mfuko wa milenia wa awamu ya pili wa mwisho kutoka
kulia.
Dk. Servacius Likwelile Katibu
Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali wakiwa pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni
Sefue wakiusikiliza kwa makini ujumbe wa Mfuko wa Changamoto za Milenia.
Ujumbe wa Tanzania ukiwa katika kikao cha
majadiliano pamoja na uongozi wa mfuko wa changamoto za Milenia Mjini
Washington Dc.Balozi wa Tanzania nchini Marekani – Washington Mhe.Liberata Mulamula
pamoja na aliyekuwa Balozi wa zamani wa ubalozi huo Bw. Ombeni Sefue wote
walikuwepo katika mjadala huo.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali Dr. Servacius Likwelile wakiwa
pamoja na Katibu
Mkuu Kiongozi Bw. Ombeni Sefue wakibadilishana mawazo kuhusu mkutano ambao
ulianza muda mfupi baadae katika jengo maarufu
la MCC mjini Washington DC. Marekani.
Viongozi
wa Mfuko wa Changamoto za Milenia wakimfurahia Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue baada ya
kumuona tena na kufurahi kwamba amekuja kujumuika na Watanzania wenzake katika
kutafuta fedha za kuinua uchumi wa Tanzania.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali Dk. Servacius Likwelile wakiwa
pamoja na Katibu
Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue pamoja na
Balozi Liberata Mulamula wakiusikiliza
kwa makini ujumbe wa Mfuko wa Changamoto za Milenia.
Makamu
wa Rais wa shughuli za operesheni za
mfuko wa Changamoto za Milenia, Bw. Kamran Khan wa katikati akitoa maelezo na msimamo wa
mfuko huo. Waliomzunguka ni wasaidiki wake ambao anafanya nao kazi kwa karibu.
 |
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali Dk. Servacius Likwelile, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, Balozi Liberata Mulamula pamoja na Bw. Laston Msongole ambaye ni Mtendaji Mkuu wa mfuko wa milenia wa awamu ya pili wakiusikiliza kwa makini ujumbe wa Mfuko wa Changamoto za Milenia na kutoa mawazo yao. (Picha zote na Ingiahedi Mduma- Wizara ya Fedha) |
No comments:
Post a Comment