Mwenyekiti wa Chama Cha Mapiduzi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Theodora Malata, akizungumza wakati wa mkutano wa Vijana wa chama hicho, katika kuadhimisha kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, Dar es Salaam leo. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nauye akiwahutubia wanafunzi hao, katika mkutano huo.
Makada wa CCM, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka (kushoto) na Mbunge wa Afrika Mashariki, Shyrose Bhanji, wakiteta jambo, wakati wa mkutano huo.
Baadhi ya wanafunzi hao, wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM, Phillip Mangula wakati alipokuwa akiwahutubia kwenye mkutano wao huo.
Makamu Mwenyekiti wa CCM, Phillip Mangula (kushoto) na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nauye, wakipongezana wakati wa mkutano ho.
Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Steve Nyerere, akizungumza wakati wa hafla hiyo.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, akizungumza katika mkutano huo.

Makada wa CCM, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka (kushoto) na Mbunge wa Afrika Mashariki, Shyrose Bhanji, wakizungumza jambo, wakati wa mkutano huo.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Phillip Mangula, akisikiliza maelezo yaliyokuwa yakitolewa na wasemaji mbalimbali kwenye mkutano huo.
Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhan Madabida, akizungumza wakati wa mkutano huo.

Christopher Ngabiagai, Katibu Mtendaji Mkuu Mkoa wa CCM, Vyuo vya Elimu ya Juu, akizungumza kwenye mkutano huo.
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nauye akiwahutubia wanafunzi hao katika mkutano huo.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Phillip Mangula, akiwahutubia wanafunzi wa Vyuo Vikuu wakati wa mkutano wa Vijana wa chama hicho, katika kuadhimisha kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, Dar es Salaam leo.

No comments:
Post a Comment